Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.

Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.

Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.

Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.

Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
Mi binafsi ni wanja lipu stiki na

Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la

Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.

Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.

Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.

Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.

Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
Wanja lipu stiki na lile jicho
 
1. October massacre
2. Fake election
3. Lissu treason case
4. Treason charges for government critics
 
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.

Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.

Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.

Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.

Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
 
Ule ujinga uliokuwa ukifanyika wa kuchoma moto vituo vya mafuta na kuunguza magari ya watu kabla ya risasi kuanza kurindima hauwezi kuongelewa.

Kutetea mauaji sio vizuri lakini dola lazima ilindwe kwa namna yoyote ile.
Dola inayohimiza ilindwe ndo iliyoanza na inaendelea kuteka, kuua, kuiba chaguzi, kulawiti.
 
-Mtekaji na muuaji mkuu wa raia yeyote anayetofautiana naye kimawazo.
-Asiyependa kuitumia mahakama kutafuta haki
-Kinara wa uchaguzi feki
-Mauaji mkuu wa gen z October 29
 
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.

Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.

Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.

Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.

Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.

Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
MamaSamia2025 ulimwengu wote unamtambua kwamba ndiye mama wa kahaba. Kahaba mkuu wa makahaba anayejilisha kwa damu zisizo na hatia
 
Kwa kuwapandisha watumishi mishahara, kulipa arrears za mishahara na kulinda amani ya Tanzania dhidi ya panyaroad
Au ndio zile ajira 500 za bodaboda waliopata ajira Mexico.
 
Kwa kupambana na nyumbu wezi na wahalifu walioiba na kuharibu mali za watu October 29
 
Rais wa kwanza kutoa speech huku anatingisha mauno yake ya baikoko,ilibaki kidogo tu atuonyeshe na shanga zake.
Huyu au mwingine.
WHO ARE YOU
IMG_20251206_120554.jpg
 
Back
Top Bottom