DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Nenda kwenye Website ya ICC. Yaani hata kutumia mtandao unashindwa.Ukinipa link au reference nitalifuta bandiko langu, mkuu
Humo kwenye dola wewe ni nani?Kutetea mauaji sio vizuri lakini dola lazima ilindwe kwa namna yoyote ile.
Uhai wa mtu haulinganishwi na chochote lakini kuna matukio yanapofanyika yanahatarisha huo uhai wa mtu.Humo kwenye dola wewe ni nani?
Dola ni samia mchemba cdf igp wewe njaa njaa huna lolote unalopata zaidi ya hizo million mbili tatu ulizogawiwa kueneza propaganda mitandaoni,huwezi kufananisha uhai wa mtu na magari ukawa timamu wewe ni kichaa.
Unaandika nonsense!!!Uhai wa mtu haulinganishwi na chochote lakini kuna matukio yanapofanyika yanahatarisha huo uhai wa mtu.
Ukifanya tukio la kihaini unahatarisha uhai wako, unaandaa mazingira ya kumpa majonzi Mama yako mzazi.
Gen Z walipaswa kupewa elimu pana kuhusiana na kile walichokifanya siku ile ya Oct29, kwamba uhaini unaposhindikana kipi kitakuwa adhabu yao.
Huwezi kufanya uhaini halafu ukarudi nyumbani kuendelea na maisha kama vile hakuna lililotokea, hayo ni maisha yanayokuwepo kwenye sinema, uhalisia upo tofauti kabisa.
Walioliwa majumbani walikuwa wachache, yoyote aliyeingia barabarani akaanza kuchoma moto vituo vya mwendokasi pamoja na mabasi akachoma moto vituo vya petrol ametenda kosa la uhaini.Unaandika nonsense!!!
Uhaini huo uhaini Tanzania hii uko wapi!watu wamepigwa risasi wamekaa sebuleni kwao unaniambia habari za uhaini?njaa ikihamia kichwani utatetea hata ujinga na wewe ni mmoja wao.
Hivi wewe una akili timamu?Walioliwa majumbani walikuwa wachache, yoyote aliyeingia barabarani akaanza kuchoma moto vituo vya mwendokasi pamoja na mabasi akachoma moto vituo vya petrol ametenda kosa la uhaini.
Vijana wote waliofikishwa mahakamani kesi waliyoshtakiwa nayo ni uhaini, tarehe 29 October siku ya uchaguzi unafanya matukio ya kutaka kuuvuruga kwa makusudi, hilo ni kosa la uhaini.
Vita haina macho, wasio na akili ni wale walioitengeneza fitina dhidi ya serikali ya awamu ya sita, hawakujua kwamba malipo ya dhambi huwa ni mauti.Hivi wewe una akili timamu?
Kwa nini wauliwe majumbani hata kama wachache,kuna uhaini unafanyika mtu amekaa chumbani kwake?mnatetea ujinga mmelipwa bei gani nyie?
hili hatuwezi kusahau maisha yetu yote. Ukatili uliovuka viwango vyoteMAUAJI YA KINYAMA YA VIJANA GEN Z WA TANGANYIKA.
OCCTOBER 29,30.
AMEKUNYWA DAMU ZA WADOGO ZETU ACHA TU.
29, 10: 10000Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant of the Year.
Ni Rais wa kwanza kumaliza siku 100 zake za kwanza akiwa amejificha.
Ndiye Rais ambaye hakuwashukuru waliomchagua baada ya uchaguzi.
Kalishukuru Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi kawaacha wananchi waliomchagua.
Ni Rais wa kwanza Tanzania kukataliwa na jumuia nyingi za kimataifa duniani.
Ni Rais aliyejitangaza anayeongoza kwa mkono wa chuma, anayechukiwa na wananchi wake walio wengi.
Hizo gari za washawasha zilinunuliwa kwa kazi gani? Uhaini upi ulifanyika kiasi kwamba ilibidi AK-47 zitumike badala ya lori za Kamaz zilizonunuliwa kwa ajili ya ku suppress maandamano na civil unrest?Uhai wa mtu haulinganishwi na chochote lakini kuna matukio yanapofanyika yanahatarisha huo uhai wa mtu.
Ukifanya tukio la kihaini unahatarisha uhai wako, unaandaa mazingira ya kumpa majonzi Mama yako mzazi.
Gen Z walipaswa kupewa elimu pana kuhusiana na kile walichokifanya siku ile ya Oct29, kwamba uhaini unaposhindikana kipi kitakuwa adhabu yao.
Huwezi kufanya uhaini halafu ukarudi nyumbani kuendelea na maisha kama vile hakuna lililotokea, hayo ni maisha yanayokuwepo kwenye sinema, uhalisia upo tofauti kabisa.
Hii haikuwa vita wewe. Huwezi ku shoot unarmed civilians halafu unasema ni vita. Na hawakuaga dunia kwa bahati mbaya. Ni kwa makusudi kabisa waneuawa.Vita haina macho, wasio na akili ni wale walioitengeneza fitina dhidi ya serikali ya awamu ya sita, hawakujua kwamba malipo ya dhambi huwa ni mauti.
Wameaga dunia kwa bahati mbaya na wapumzike kwa amani, taratibu wanaendelea kukamatwa wote waliohamasisha maandamano na machafuko kwa ujumla, hawa wanazo damu za watu wasio na hatia mikononi mwao.
Mbona tarehe 9 na 25 desemba hakufa hata mmoja?. Watu walichoma vituo vya mwendokasi, ulitaka wapigiwe makofi na kupewa mashada ya maua?.Hii haikuwa vita wewe. Huwezi ku shoot unarmed civilians halafu unasema ni vita. Na hawakuaga dunia kwa bahati mbaya. Ni kwa makusudi kabisa waneuawa.
Sisi tuliompigia kura tunampenda na tutampenda tukimuunga mkono mpaka siku ya mwisho ya uongozi wake.Hizo gari za washawasha zilinunuliwa kwa kazi gani? Uhaini upi ulifanyika kiasi kwamba ilibidi AK-47 zitumike badala ya lori za Kamaz zilizonunuliwa kwa ajili ya ku suppress maandamano na civil unrest?
Ukweli ni kwamba serikali ilijipanga kuua waandamaji na haijutii. Mwisho wa siku serikali na Samia aelewe kuwa HAPENDWI na wananchi wengi.
Kwa hiyo mtu akichoma kituo cha mwendo kasi adhabu yake ni kupigwa risasi? Je waliouawa wote walikuwa wanafanya fujo? Yule mama aliyeuawa mbele wa watoto wake akivuka daraja la kivukoni alikuwa na kosa gani? Mbona unajitoa ufahamu kwa vitu ambavyo vipo wazi? Au na wewe ni mojawapo wa wanufaika wa hii rotten system?Mbona tarehe 9 na 25 desemba hakufa hata mmoja?. Watu walichoma vituo vya mwendokasi, ulitaka wapigiwe makofi na kupewa mashada ya maua?.
Walikata watu vidole, ulitaka wapigiwe makofi na kuambiwa hongereni nyinyi wazalendo?.
Kabla hujaichafua nchi ishindwe kutawalika iwe kama Somalia mapolisi watakuchafua wewe vibaya sana.
Endelea kumpenda, ni utashi wako. Hata shetani kuna watu wanampenda na kumuabudu. Serikali haijaomba radhi kwa hao "wachache" unaosema walipigwa risasi bila kosa lolote ila Samia kasema nguvu iliyotumika inalandana na tukio husika. Rais badala ya ku sympathise na wahanga ana justify killings of them.Sisi tuliompigia kura tunampenda na tutampenda tukimuunga mkono mpaka siku ya mwisho ya uongozi wake.
Vurugu za kipuuzi lazima zidhibitiwe, wapo wachache waliopigwa risasi bila ya kosa lolote lakini wapo wengi sana waliotaka kuichafua kabisa dola ya Tanzania isiwepo.
Nimekwambia vipo vifo vya bahati mbaya baada ya hali nzima ya siasa nchini kuwa imechafuka, wanasema vita haina macho.Kwa hiyo mtu akichoma kituo cha mwendo kasi adhabu yake ni kupigwa risasi? Je waliouawa wote walikuwa wanafanya fujo? Yule mama aliyeuawa mbele wa watoto wake akivuka daraja la kivukoni alikuwa na kosa gani? Mbona unajitoa ufahamu kwa vitu ambavyo vipo wazi? Au na wewe ni mojawapo wa wanufaika wa hii rotten system?