Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

Narudia tena, HAKUKUWA NA VITA. Usitake kuhalalisha uuaji wa unarmed innocent civilians kwa kusingizia kuwa kulikuwa na vita. Kwamba watoto wanauliwa kule Goma ndio justification wa serikali kuuwa watu? Wewe una akili gani? Kwa hiyo unakiri kuwa kilichofanyika ni unyama ambao haustahili kufanyika?
 
Nimekuuliza mbona tarehe 9 na 25 hakufa hata mtu mmoja hujanijibu.

Tatizo la vijana waliofanya fujo ni kujiona wana haki kuliko watanzania wote kama vile nchi hii sasa yote ni mali yao, hakuna kitu kama hicho.

Kemea pia ujinga wote uliofanyika siku ile unapokemea mauaji ya wachache wasio na hatia.
 
Sasa niwajibie polisi ambao waliua watu tarehe 29? Nakemea uhalifu na nakemea mauaji ya watu wote kwani hata wale unaosema wana hatia, wangekamatwa na kupelekwa mahakamani na sio kuuwawa. Huu ndio utawala wa sheria.
 
Sasa niwajibie polisi ambao waliua watu tarehe 29? Nakemea uhalifu na nakemea mauaji ya watu wote kwani hata wale unaosema wana hatia, wangekamatwa na kupelekwa mahakamani na sio kuuwawa. Huu ndio utawala wa sheria.
Yale yalikuwa ni machafuko, ambayo yalikuwa na ufadhili wa mataifa ya nje, jiulize kwanini mtandao ulizimwa mchana wa tarehe 29 October.

Hayakuwa maandamano ulikuwa uchafuzi wa kisiasa wenye lengo la kuiharibu Tanzania isiweze kusimama na kupiga hatua za kimaendeleo.
 
Nchi gani ilifadhili na ilifadhili nini? Acha propaganda njoo na facts. Usiimbe nyimbo za wanasiasa. Una akili ya kuweza kuchambua issues. Waulize waliozima mtandao.
 
Rais aliyewauliza wafadhiri wake who are they!
 
Chawa at work!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…