Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!

Unajidanganya!

Na chuki zako kwa Rais Samia zitakuua.

Watanzania huku site wanamuelewa sana Mama.

Hilo genge lenu na propaganda zenu mshindwe na mlegee.
Site gani hiyo?

Embu mwambie asimeme seme JPM hoyee..kisha aseme Samia hoyee.

Uharisia mnaita chuki, utazani mnaishi kisiwandui tu.
 
Labda umoja part ila ivi vingine du asali inshauwa
 
2025 Samia atapata wakati mgumu sana haijawahi tokea kwenye uchaguzi wowote. Hata akishinda lakini atakuwa hana hamu na watanzania. CCM waangalie namna ya kumpumisha ... Wanawake wenzie ndio hawamuelewi kabisa .

Hakuna kiongozi wa CCM anategemea kura, usitake kutishia kitu ambacho hakipo. Hata uchaguzi wa 2020 Magufuli hakushinda kama inavyotangazwa. Isitoshe hakuna mtu anajitambua atakuwa na muda wa kushiriki huo uchaguzi wa kishenzi kwa katiba na tume hii ya uchaguzi. Sasa huo ugumu utatoka wapi?
 
Nenda zako wewe uliye kata tamaa. Watu wameshaamka.
 
Labda umoja part ila ivi vingine du asali inshauwa

Umoja party hicho chama kilichokuja na kujifanya kinabeba falsafa ya Magufuli, baada ya kupewa mashambulizi mazito hapa mitandaoni kikapotea! Kwa sasa hivi Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Mbona wewe ni mdogo hivyo? Huu upumbavu umejifunza lini?
 
Nenda zako wewe uliye kata tamaa. Watu wameshaamka.

Walimka muda mrefu kabla hata dhalimu hajaingia madarakani, tatizo ni uoga boss. Kwakuwa watu ni waoga wameamua kutoshiriki chaguzi za kishenzi.
 
Una haki ya kuandika huo upimbi wako, unadhani kama tutapata katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi mtaambulia hata viti 20 nchi nzima??? Thubutuuuuu
 
Kuuliza bibi ushungi kusimama ni sawa na kuuliza makofi polisi
 
Nikikusoma kwa makini naona una contradictory statement. Wewe unawakilisha watu wasioridhika na utawala wa Rais Samia kutokana na vigezo vyako.

Cha ajabu unawatahadharisha CCM kuwa wasimuweke Samia kama mgombea uRais wa 2025 kwa kuwa watashindwa.

Kama hoja zako za awali ni za ukweli ulipaswa ufurahi kuona Samia anakuwa mgombea uRais kwa tiketi ya CCM ili upinzani ushinde kwa urahisi.

Hebu kanipange upya
 
Hata Magufuli alikuwa na PhD feki. Njoo na hoja nyingine. Kuwa na cheti feki hata kama angekuwa nacho hakumnyimi haki ya kukosoa maamuzi mabovu ya Magufuli
 
we mpuuzi Sana, hivi hizi kazi za mama huzioni.? Acha chuki zako za ukanda utakuua na kutesa.

kwa taarifa yako mama anapota bila taabu, kwani yule shetani wenu alishinda? Si alibaka ushindi wa mwenzake? #watu wazuri hawafi********
 
Ikitokea 2025 Upinzani ukapata viti 10 vya ubunge wa kuchaguliwa Mimi hapa naahidi nitaachana na CCM na kuupambania upinzani ushike dola 2030
 
Kama upinzani wakinyakua viti vingi Bungeni, itakuwa ni faraja kwa Rais Samia.

Marehemu kwa kupora uchaguzi wa 2020, tumepoteza msaada wa kibajeti wa zaidi ya trillion 1 kutoka Jumuia ya madola. Na mwaka 2015, kwa kupora ushindi wa Maalim Seif, tukapoteza msaada wa zaidi ya trilioni 1 kila mwaka toka MCC.

Magufuli baada ya kupora uchaguzi wa 2020, na kugundua kuwa kumbe atakosa msaada wa zaidi ya trilioni moja toka Jumuiya ya madola, alihangaika sana ili kuwaingiza wapinzani Bungeni wafikie 14% ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani, akashindwa. Akaishia kuwatengeneza wabunge kwa hila, Covid 19, lakini mpaka hakuipata 14%, jambo ambalo Samia ameririthi na linaendelea kuitesa Serikali yake.
 
Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…