Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.
Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya
Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!
Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.
Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.
Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.
Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.