Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!

Unajidanganya!

Na chuki zako kwa Rais Samia zitakuua.

Watanzania huku site wanamuelewa sana Mama.

Hilo genge lenu na propaganda zenu mshindwe na mlegee.
Site gani hiyo?

Embu mwambie asimeme seme JPM hoyee..kisha aseme Samia hoyee.

Uharisia mnaita chuki, utazani mnaishi kisiwandui tu.
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
Labda umoja part ila ivi vingine du asali inshauwa
 
2025 Samia atapata wakati mgumu sana haijawahi tokea kwenye uchaguzi wowote. Hata akishinda lakini atakuwa hana hamu na watanzania. CCM waangalie namna ya kumpumisha ... Wanawake wenzie ndio hawamuelewi kabisa .

Hakuna kiongozi wa CCM anategemea kura, usitake kutishia kitu ambacho hakipo. Hata uchaguzi wa 2020 Magufuli hakushinda kama inavyotangazwa. Isitoshe hakuna mtu anajitambua atakuwa na muda wa kushiriki huo uchaguzi wa kishenzi kwa katiba na tume hii ya uchaguzi. Sasa huo ugumu utatoka wapi?
 
Nenda zako wewe uliye kata tamaa. Watu wameshaamka.
 
Labda umoja part ila ivi vingine du asali inshauwa

Umoja party hicho chama kilichokuja na kujifanya kinabeba falsafa ya Magufuli, baada ya kupewa mashambulizi mazito hapa mitandaoni kikapotea! Kwa sasa hivi Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
Mbona wewe ni mdogo hivyo? Huu upumbavu umejifunza lini?
 
Nenda zako wewe uliye kata tamaa. Watu wameshaamka.

Walimka muda mrefu kabla hata dhalimu hajaingia madarakani, tatizo ni uoga boss. Kwakuwa watu ni waoga wameamua kutoshiriki chaguzi za kishenzi.
 
Bila Shaka upo usingizini,kwa Taarifa yako Ni kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anakubalika na kupendwa Sana na watanzania kutokana na kazi kubwa na ya kutukuka aliyoifanya katika kuwatumikia watanzania wanyonge wasio na sauti katika kuijenga nchi yetu,mh Rais wetu amegusa na kuweka mikono yake katika kila eneo, amefanya uwekezaji wa mabillioni ya pesa za kitanzania kuhakikishia kuwa huduma muhimu zinasogezwa karibu ya mtanzania. Kila eneo utakapokwenda unakuta kazi kubwa imefanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia,Kwa hakika Rais wetu Hana wa kushindana Naye Wala kushindanishwa naye
Una haki ya kuandika huo upimbi wako, unadhani kama tutapata katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi mtaambulia hata viti 20 nchi nzima??? Thubutuuuuu
 
Kuuliza bibi ushungi kusimama ni sawa na kuuliza makofi polisi
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
Nikikusoma kwa makini naona una contradictory statement. Wewe unawakilisha watu wasioridhika na utawala wa Rais Samia kutokana na vigezo vyako.

Cha ajabu unawatahadharisha CCM kuwa wasimuweke Samia kama mgombea uRais wa 2025 kwa kuwa watashindwa.

Kama hoja zako za awali ni za ukweli ulipaswa ufurahi kuona Samia anakuwa mgombea uRais kwa tiketi ya CCM ili upinzani ushinde kwa urahisi.

Hebu kanipange upya
 
Wewe kama hawajakutuma utakua cheti feki au mtumbuliwa. Cheki feki ndio walokua wanaongoza kumchukia jpm. Sababu kubwa akili yao ndogo halafu vyeti feki na maslahi yasiyokua halali ikawapa kudhani wana akili kumbe bado wajinga.
Pointi zako hata kuzipinga moja baada ya nyingine ni taabu maana ni uongo na ujinga mtupu.
Hata Magufuli alikuwa na PhD feki. Njoo na hoja nyingine. Kuwa na cheti feki hata kama angekuwa nacho hakumnyimi haki ya kukosoa maamuzi mabovu ya Magufuli
 
we mpuuzi Sana, hivi hizi kazi za mama huzioni.? Acha chuki zako za ukanda utakuua na kutesa.

kwa taarifa yako mama anapota bila taabu, kwani yule shetani wenu alishinda? Si alibaka ushindi wa mwenzake? #watu wazuri hawafi********
 
Ikitokea 2025 Upinzani ukapata viti 10 vya ubunge wa kuchaguliwa Mimi hapa naahidi nitaachana na CCM na kuupambania upinzani ushike dola 2030
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
Kama upinzani wakinyakua viti vingi Bungeni, itakuwa ni faraja kwa Rais Samia.

Marehemu kwa kupora uchaguzi wa 2020, tumepoteza msaada wa kibajeti wa zaidi ya trillion 1 kutoka Jumuia ya madola. Na mwaka 2015, kwa kupora ushindi wa Maalim Seif, tukapoteza msaada wa zaidi ya trilioni 1 kila mwaka toka MCC.

Magufuli baada ya kupora uchaguzi wa 2020, na kugundua kuwa kumbe atakosa msaada wa zaidi ya trilioni moja toka Jumuiya ya madola, alihangaika sana ili kuwaingiza wapinzani Bungeni wafikie 14% ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani, akashindwa. Akaishia kuwatengeneza wabunge kwa hila, Covid 19, lakini mpaka hakuipata 14%, jambo ambalo Samia ameririthi na linaendelea kuitesa Serikali yake.
 
Bila Shaka upo usingizini,kwa Taarifa yako Ni kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anakubalika na kupendwa Sana na watanzania kutokana na kazi kubwa na ya kutukuka aliyoifanya katika kuwatumikia watanzania wanyonge wasio na sauti katika kuijenga nchi yetu,mh Rais wetu amegusa na kuweka mikono yake katika kila eneo, amefanya uwekezaji wa mabillioni ya pesa za kitanzania kuhakikishia kuwa huduma muhimu zinasogezwa karibu ya mtanzania. Kila eneo utakapokwenda unakuta kazi kubwa imefanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia,Kwa hakika Rais wetu Hana wa kushindana Naye Wala kushindanishwa naye
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom