Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!

Kalosi, rekebisha heading yako, ugombea wa Samia 2025 sio wa kulazimisha!, ni ugombea wa mserereko as deserving kwa mujibu wa taratibu za CCM, hivyo kusema endapo atalaziisha, sio kumtendea haki, anayelazimisha ni yule undeserving anae force!.
Ila hili la Samia kugombea 2025, sauti tayari zipo Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
Huwa Sina Shaka na Maandiko yako Mkuu !! Umekuwepo Kwa muda mrefu, kiasi kwamba wewe sana unatabiri ,huandiki tu.

Raia mwema anasema, Tanzanite Sasa inatoroshawa nje nje
 
Dk SSH atapita Tena kwa Asilimia Kama zote..

Mwaka 2020 halikuwa na uchaguzi Bali upuuzi wa Jiwe.

Samia hajawahi waogopa Wapinzani kwanza anapenda ukosoaji na sio imwinyi wa yule failure wenu.
Sizani kama unaandika ya moyoni hapa. Unaandika siasa na propaganda tu.
 
Kwa Nini niandike kwa propaganda? Wewe una Shaka gani ndugu?
2025 Samia atapata wakati mgumu sana haijawahi tokea kwenye uchaguzi wowote. Hata akishinda lakini atakuwa hana hamu na watanzania. CCM waangalie namna ya kumpumisha ... Wanawake wenzie ndio hawamuelewi kabisa .
 
Kushinda sio lazima ashinde kwa 80% na kuendelea,atashinda hata kwa 55% Kama ambavyo Mkapa akishinda kwa Mrema..

Na sababu sio kwamba hafanyi vizuri Ila Ni ujinga na kasumba za mfumo dume haujawa tayari kuongozea na Mwanamke,uzanzibari wake,uislamu wake unaoambatana na uzushi wa udini na Mwisho uzushi wa Sukuma gang kwamba Walimuua Mwendazake..

Lakini atashinda na Wapinzani hata wafanyaje hawatafikia viwango vya wabunge Kama 2015 na sababu Ni kwamba awamu ya 6 Ni Kama imetatua karibu 85% ya jero za Wabunge.
 
Nasikitika sana. Yaani bado kuna wajinga ambao bado wanaamini falsafa za kijinga/kipumbafu za JPM?

Lile ilikuwa laana Kwa taifa.

JK wakati anaondoka aliacha some how kulikuwa na democrasia lkn baada ya kumpa kijiti yule taifa liliingia giza.

Tushukuru COVID 19
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
Ground wapi, nyumbani kwako? Acha upoyoyo na uzushi tafuta kazi ya kufanya
 
Hata 2020 upinzani ulichukua viti vingi sana sema ndiyo hivyo JIKONO JANDAMA akaharibu uchaguzi.
 
Nasikitika sana. Yaani bado kuna wajinga ambao bado wanaamini falsafa za kijinga/kipumbafu za JPM?

Lile ilikuwa laana Kwa taifa.

JK wakati anaondoka aliacha some how kulikuwa na democrasia lkn baada ya kumpa kijiti yule taifa liliingia giza.

Tushukuru COVID 19
Democrasia ya wanywa juisi?

Haaa.. acha hizo buana.
 
Nasikitika sana. Yaani bado kuna wajinga ambao bado wanaamini falsafa za kijinga/kipumbafu za JPM?

Lile ilikuwa laana Kwa taifa.

JK wakati anaondoka aliacha some how kulikuwa na democrasia lkn baada ya kumpa kijiti yule taifa liliingia giza.

Tushukuru COVID 19
Endelea kusikitika hadi ufe!

Democrasia ya nyoko? Unakula hiyo democrasia?

Unga 2000
Maharage 4000
Mchele 4000
Mafuta ndio kama hivyo!

Hiyo democrasia yako inakusaidia nini?

Mavi kweli.
 
Leo CCM , Upinzani na wasio na vyama tunaongea lugha moja.

Tulipofikia ni kuzuri, soon PATAKUCHA!!!
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.

Kwa taarifa yako, wapinzani 2020 ndio walipata kura nyingi hadi Magufuli akaamua kunajisi uchaguzi. Hivyo hiyo 2025 usitegemee wapiga kura wa maana kwani watanzania wameshalipuza box la kura. Na huyo mama Samia atatumia njia hiyo hiyo aliyotumia magufuli ya kupora uchaguzi. Machafuko pekee ndio yatakitoa hiki chama cha majizi ya kura.
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
Hizi ni porojo na uongo mtupu!
 
2025 Samia atapata wakati mgumu sana haijawahi tokea kwenye uchaguzi wowote. Hata akishinda lakini atakuwa hana hamu na watanzania. CCM waangalie namna ya kumpumisha ... Wanawake wenzie ndio hawamuelewi kabisa .
Unajidanganya!

Na chuki zako kwa Rais Samia zitakuua.

Watanzania huku site wanamuelewa sana Mama.

Hilo genge lenu na propaganda zenu mshindwe na mlegee.
 
Back
Top Bottom