Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #21
Huwa Sina Shaka na Maandiko yako Mkuu !! Umekuwepo Kwa muda mrefu, kiasi kwamba wewe sana unatabiri ,huandiki tu.Kalosi, rekebisha heading yako, ugombea wa Samia 2025 sio wa kulazimisha!, ni ugombea wa mserereko as deserving kwa mujibu wa taratibu za CCM, hivyo kusema endapo atalaziisha, sio kumtendea haki, anayelazimisha ni yule undeserving anae force!.
Ila hili la Samia kugombea 2025, sauti tayari zipo Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
Raia mwema anasema, Tanzanite Sasa inatoroshawa nje nje