Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Kideri kimeingia Tanzania.Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line..
Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza..
Part of Africa is Doing iT 🙃
View attachment 3127477
WAshapakwa mazee, nakutumia clip jamaa anashuka kwenye ndege anatembea upande upande.angalieni hao vijana wasiende huko wakapakwa mafuta!
usiniharibie siku baki na video lako! sitaki kuona upuuziWAshapakwa mazee, nakutumia clip jamaa anashuka kwenye ndege anatembea upande upande.
Kujengaje sasaJengeni nchi zenu za Africa kama wazungu walivyojenga zao zikawa kimbilio la kila mtu.
Hospital bora hadi vijijiniKujengaje sasa
Sawasawa mkuu,..hakika ni miundombinu muhimu sanaHospital bora hadi vijijini
Barabara za lami kila mahali
Treni za mwendokasi kila mahali
Demokrasia na utawala wa sheria
Movie theaters
Miji iliyopangwaliwa
Usafi
Fursa za kazi
N.k
SahihiSome of us tutakuwa wa zee kabisa kama tukiwa hai. Meaning watoto wetu ndio watafanywa watumwa for another time. Muhimu tujenge nchi zetu, hizi mambo za kutegemea ulaya na marekani zitafikia ukomo na sijui tutakuwa ombaomba wa China au wapi.
Viwanda vya kila aina, pamoja na yote uliyotaja, kama hatuna viwanda vya kuzalisha, innovation kwenye teknolojia pia itakuwa muhimu sana. Hakuna taifa linaloendelea kwa sasa bila kuwekeza kwenye teknolojia.Hospital bora hadi vijijini
Barabara za lami kila mahali
Treni za mwendokasi kila mahali
Demokrasia na utawala wa sheria
Movie theaters
Miji iliyopangwaliwa
Usafi
Fursa za kazi
N.k
Point snHajasema ulaya itachukuwa watu kutoka africa, amesema itaalika.
Kiujumla nchi nyingi zilizoendelea zinaruhusu uhamiaji lakini zimeanza kuweka vigezo vigumu ili kudhibiti wahamiaji wasiwe wengi.
Kwahiyo kadri miaka inavyozidi kwenda, kuhamia kutazidi kuwa kugumu, nasikia siku hizi ni ngumu kuhamia kama sio skilled(huna degree, huna taaluma) na visa za matajiri kama golden visa zimeanza kubanwa.