Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

Hajasema ulaya itachukuwa watu kutoka africa, amesema itaalika.

Kiujumla nchi nyingi zilizoendelea zinaruhusu uhamiaji lakini zimeanza kuweka vigezo vigumu ili kudhibiti wahamiaji wasiwe wengi.

Kwahiyo kadri miaka inavyozidi kwenda, kuhamia kutazidi kuwa kugumu, nasikia siku hizi ni ngumu kuhamia kama sio skilled(huna degree, huna taaluma) na visa za matajiri kama golden visa zimeanza kubanwa.
Kama Malta, Portugal na Bulgaria walikuwa wanagawa sana golden visa kama njugu. Wealthy Chinese wamefaidika sana. Ila kwa sasa wana bana balaa.

Sweden wameahidi kila muhamiaji haramu akitaka kurudi kwao kwa hiari anamlipa 34k euros. Lakini hiyo 34k utaipokea ubalozi wa Sweden nchini kwako. Sweden wahuni tu.

Canada napo wamebana balaa sasa hivi.
 
Tunachelewa sana kuchukua maamuzi katika ulimwengu unaoenda kasi sana. Tunakuja kutahamaki majirani zetu wamekwishatangulia. Baadae tunakuja kuwalipa fedha nyingi sana kama consultants na experts. 🤔
Sahihi wahindi wameshawahi wanaenda na proffesion na family wanazaa sana sababu population ya ulaya na Canada ya wenyeji inashuka hawataki kuzaa na wanataka ushoga usagaji na ndoa za jinsia moja
Hivyo wahindi wamegundua kinachohitajika nu population replacement na tayari wame mudu kutoa viongozi wakuu CIA marekani ,viongozi wa juu Canada na uingereza na population yao inakua kwa spidi kwa kuzaliana ndani ya nchi hizo sio kwa uhamiaji

Akina kataa ndoa sidhani kama ni future ya hizo nchi
 
Kama Malta, Portugal na Bulgaria walikuwa wanagawa sana golden visa kama njugu. Wealthy Chinese wamefaidika sana. Ila kwa sasa wana bana balaa.

Sweden wameahidi kila muhamiaji haramu akitaka kurudi kwao kwa hiari anamlipa 34k euros. Lakini hiyo 34k utaipokea ubalozi wa Sweden nchini kwako. Sweden wahuni tu.

Canada napo wamebana balaa sasa hivi.
Nasikia siku hizi wahindi, wachina wengi wanakuja US kusoma kwenye ivy leagues halafu wanarudi nchini kwao kujenga uchumi.

Ni jambo la heshima sana.

Ndo maana nampongeza sana kijana wetu benjamin fernandes kutumia degree zake za stanford na harvard kuja kutatua financial inclusion huku africa.

Very noble.
 
Back
Top Bottom