The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Na nani mkuu? Ama na future pdiddys?angalieni hao vijana wasiende huko wakapakwa mafuta!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nani mkuu? Ama na future pdiddys?angalieni hao vijana wasiende huko wakapakwa mafuta!
Kama Malta, Portugal na Bulgaria walikuwa wanagawa sana golden visa kama njugu. Wealthy Chinese wamefaidika sana. Ila kwa sasa wana bana balaa.Hajasema ulaya itachukuwa watu kutoka africa, amesema itaalika.
Kiujumla nchi nyingi zilizoendelea zinaruhusu uhamiaji lakini zimeanza kuweka vigezo vigumu ili kudhibiti wahamiaji wasiwe wengi.
Kwahiyo kadri miaka inavyozidi kwenda, kuhamia kutazidi kuwa kugumu, nasikia siku hizi ni ngumu kuhamia kama sio skilled(huna degree, huna taaluma) na visa za matajiri kama golden visa zimeanza kubanwa.
Sahihi wahindi wameshawahi wanaenda na proffesion na family wanazaa sana sababu population ya ulaya na Canada ya wenyeji inashuka hawataki kuzaa na wanataka ushoga usagaji na ndoa za jinsia mojaTunachelewa sana kuchukua maamuzi katika ulimwengu unaoenda kasi sana. Tunakuja kutahamaki majirani zetu wamekwishatangulia. Baadae tunakuja kuwalipa fedha nyingi sana kama consultants na experts. 🤔
Nasikia siku hizi wahindi, wachina wengi wanakuja US kusoma kwenye ivy leagues halafu wanarudi nchini kwao kujenga uchumi.Kama Malta, Portugal na Bulgaria walikuwa wanagawa sana golden visa kama njugu. Wealthy Chinese wamefaidika sana. Ila kwa sasa wana bana balaa.
Sweden wameahidi kila muhamiaji haramu akitaka kurudi kwao kwa hiari anamlipa 34k euros. Lakini hiyo 34k utaipokea ubalozi wa Sweden nchini kwako. Sweden wahuni tu.
Canada napo wamebana balaa sasa hivi.