Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

Uko sawa kabisa kapombe leo amegeuza geuzwa kama chapat shabalala anakabia macho anasindikiza tu simba beki zote zimechoka n wazito pia wangesajili na winga teleza wenye kasi
Hofu yangu watahimili mikiki ya pacome, Mzize na Maxi?
 
Mabeki wengi mikimbizano hawaiwezi labda acheze faulo,
Makosa mengine madogomadogo kwenye mpira lazima yatokee tu

Msiwavunje mioyo wachezaji Kwa mechi kama hizi za kupaniana
 
Nje ya mada, nasikia kuna watu huwa wanaoga usiku kabla ya kulala halafu wakiamka asubuhi wanaoga tena?
 
Ubaya aliomfanyia Manula kuwa ameuza mechi ya goli tano zile hadi Sasa Manula anawekwa benchi bila sababu yeyote ya msingi Sasa Umebwela kwake.Malipo ni hapa hapa..
 
Sahau labda Ingekuwa Yanga wangeondoka ila kwa simba wanaleta ushikaji kwa wachezaji wazawa waliokaa muda mrefu. Yanga waliwaacha Yondani na Juma Abdul na viwango vyao na kuanza upya, ila kwa simba hao utawaona simba day.
 
Mmoja wa wachezaji ambao Hersi anawamezea mate ni Zimbwe.

Makosa na madhaifu ya Zimbwe yamekuwa ni haya haya kwa muda mrefu. Hili tatizo la kuacha mtu wake nyuma yake kama lililozaa goli la leo la pili nimelisema saana. Amefanya hili kosa sana tu, naweza kurudi hadi mechi na Jwaneng Galaxy ya Mkapa 3-1, nadhani lilikuwa goli la 3.

Kwa upande wangu amekuwa the weakest link ya Simba kwa muda mrefu sana.
 
Mmoja wa wachezaji ambao Hersi anawamezea mate ni Zimbwe.

Makosa na madhaifu ya Zimbwe yamekuwa ni haya haya kwa muda mrefu. Hili tatizo la kuacha mtu wake nyuma yake kama lililozaa goli la leo la pili nimelisema saana. Amefanya hili kosa sana tu, naweza kurudi hadi mechi na Galaxy ya Mkapa 3-1, nadhani lilikuwa goli la 3.

Kwa upande wangu amekuwa the weakest link ya Simba kwa muda mrefu sana.
GSM this, GSM that. Eng Hersi this, Eng Hersi that.
 
Tarehe 8
Yanga 3-1 5imba
FT hatumtaki Mangungu hatumtaki Kibu, Kapombe kauza kechi, Hussein kazeeka, Chasambi Yanga
Bado hawajui kama bundi kashatua pale kwenye ghorofa lao mtaa wa msimbazi.
 
Mmoja wa wachezaji ambao Hersi anawamezea mate ni Zimbwe.

Makosa na madhaifu ya Zimbwe yamekuwa ni haya haya kwa muda mrefu. Hili tatizo la kuacha mtu wake nyuma yake kama lililozaa goli la leo la pili nimelisema saana. Amefanya hili kosa sana tu, naweza kurudi hadi mechi na Jwaneng Galaxy ya Mkapa 3-1, nadhani lilikuwa goli la 3.

Kwa upande wangu amekuwa the weakest link ya Simba kwa muda mrefu sana.
Ona nilichowahi kusema kuhusu ukabaji wake na kilichotokea leo:

Zimbwe aache uchezaji wa kuacha mtu wake nyuma yake hasa eneo la hatari. Simba imekuwa inafungwa magoli mengi ya namna hii.
 
Back
Top Bottom