Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kudi lipo wazi sana hili,yanga atafungwa mechi nyingine moja na ahly away zilizobaki zote ni maokoto ya pnt3 muhimu...pnts 12 zinatupeleka robo1. Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo.
Tuna enjoy kwatimu kutoka Tanzania kwasasa ikienda ugenini hawaendi kuwa underdog wanafunguka na wanamiliki mpira.
Ila waarabu [emoji3063][emoji3063] acha tu waendelee kubondwa na wayahudi
NB .... Tukutane final
View attachment 2824544