Mwaka Jana Yanga walipigwa mechi ya 1 na bado walifika fainali

Mwaka Jana Yanga walipigwa mechi ya 1 na bado walifika fainali

😁😁😁😁😁
Nimeto sare ilaaa

Kijana funga kamba umepangwa na watu siriaz

Al ahly😁
 
1. Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo.

Tuna enjoy kwatimu kutoka Tanzania kwasasa ikienda ugenini hawaendi kuwa underdog wanafunguka na wanamiliki mpira.

Ila waarabu [emoji3063][emoji3063] acha tu waendelee kubondwa na wayahudi

NB .... Tukutane final

View attachment 2824544
kudi lipo wazi sana hili,yanga atafungwa mechi nyingine moja na ahly away zilizobaki zote ni maokoto ya pnt3 muhimu...pnts 12 zinatupeleka robo
 
kudi lipo wazi sana hili,yanga atafungwa mechi nyingine moja na ahly away zilizobaki zote ni maokoto ya pnt3 muhimu...pnts 12 zinatupeleka robo
Itakuwa unyama sana
 
Back
Top Bottom