Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani

Alijinyonga ,weka ushahidi hapa

Lasivyo acha utapeli
Umesoma mwaka nilio enda mala ya kwanza na mwaka nilio lud mala ya pili na kunambiwa alijinyonga ama umekurupuka tu
Wewe kule umeomba nifungue Uzi unao usu Pete alafu apa wewe uyo uyo unakandia ama ndio baniyani mbaya kiatu chake ni dawa
 
sijaomba nimemaanisha bado ujaweka uzi unaohusu pete maana ndo mbinu zenu, ila fresh tuu fanya chap chap nataka utajiri
 
Huna uelewa na ulichoandika, kuna tofauti kati ya Msukule na mtu aliyeuwawa kweli.

Mtu aliyekufa kweli hawezi kuonekana tena, misukule ndio unaweza kuiona kwa sababu vifo vyao vilikuwa fake.
 
Una asili ya uchawi,vinginevyo usingeona mambo ya kichawi
 
Huna uelewa na ulichoandika, kuna tofauti kati ya Msukule na mtu aliyeuwawa kweli.

Mtu aliyekufa kweli hawezi kuonekana tena, misukule ndio unaweza kuiona kwa sababu vifo vyao vilikuwa fake.
Pitia Tena mana ww ndio umesoma na ujaelewa ulicho kisoma
 
Chai
 
Hebu wasiliana na viumbe vinavyonifuatilia kama kweli na uniambie sababu za maana kabisa!!

KAZI na utu hebu tuendelee kusonga mbele!
 
Mwaka 2012 niliwahi shuhudia wachawi wakiwanga, niliwashuhudia kupitia dirisani geto kwangu dirishisha lilikuwa upande wa barabarani. Jamaa walikuwa kundi kubwa wanawake, wazee na watoto wadogo. Walikuwa wakfagia barabarani, mijongeo yao ilikuwa wanatembea kinyume nyume. Ilinishitua sana... Hii stori Kila niliekuwa namsimlia mwisho ww siku aliniita kwamba na Mimi ni mchawi kwamba haiwezekani hao jamaa niwaone kwa macho ya kawaida.
 
Kuna watu wanazan apa tunapiga hadithi hadithi
 
Illution zako tu, unakunywa pombe?

Kule Tanga miaka kadhaa nyuma kulikuwa na watu wakishavuta bangi wanamuona Nyerere juu ya mwembe.
 
Illution zako tu, unakunywa pombe?

Kule Tanga miaka kadhaa nyuma kulikuwa na watu wakishavuta bangi wanamuona Nyerere juu ya mwembe.
Mkuu kwa sasa umri wangu nipo ngazi ya tatu ½, sasa ukipga hesabu 2012 nilikuwa bado chalii mdogo sana ila nilikuwa na geto langu napga mitikasi sikuwa mtumiaji wa kilevi Cha aina yoyote. Kwahiyo kusema ilikuwa wenge basi nakuacha na ubishi wako
 
Kuna watu wanazan apa tunapiga hadithi hadithi
Hili tukio mpaka sasa bado lipo kichwani, mwanzo nilidhani ni watu wa kawaida wanafanya usafi, lkn nikajiuliza why wafanye usafi saa nane usiku na barabarani? Maana niliangalia saa, na kwanini mijongeo yao iwe kinyume nyume wengine wamekaa kwa kupangana wamenyoosha miguu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…