mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,566
- 10,623
Wewe mjanja sana. Kuna mama ntilie mmoja analetaga msosi ofisini kila nikijilazimisha kula lazima nitake kutapika. Niliacha kitambo nasikia amefanya biashara hiyo zaidi ya miaka 10. Kile chakula nina mashaka nacho. Sina nguvu wala wala muujiza wowote.Sio tangazo hili kweli, basi kama ni tangazo lipia