Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani

Sio tangazo hili kweli, basi kama ni tangazo lipia
Wewe mjanja sana. Kuna mama ntilie mmoja analetaga msosi ofisini kila nikijilazimisha kula lazima nitake kutapika. Niliacha kitambo nasikia amefanya biashara hiyo zaidi ya miaka 10. Kile chakula nina mashaka nacho. Sina nguvu wala wala muujiza wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…