Mwaka mmoja bila Magufuli na legacy yake

Tarehe 17 mwezi march taifa ili lilipata ukombozi toka kwa watesi wa raia wenye kuua na kupoteza watu. Ipo siku taifa litapata ukombozi toka kwenye mateso na utesi wa ccm.
 
Ni mtanzania gani asiyejua kazi ya maana na nzito aliyoifanya hayati JPM kwa ajili ya taifa hili?

Hivi bila kuwa kiongozi unayejitoa muhanga kwa ajili ya taifa lako kusimamia na kudhibiti wala rushwa na mafisadi hili taifa lingekuwa hapa?

Kila nyanja ambayo ilitakiwa isimamiwe vyema ili maendeleo ya taifa letu yapatikane hayati JPM alisimamia vyema tena kwa kwa kujitoa muhanga.

Mfano alipokuwa waziri wa ujenzi kila mtu alishuhudia alivyochapa kazi ili barabara zijengwe.

Alipopata kuwa rais alidhibiti matumizi mabaya ya pesa za umma na zikatumika vizuri na kila mtu alishuhudia ndani ya miaka mitano ya utawala wake mabadiliko makubwa.

Ninapoandika hapa Mv Victoria ni kama meli mpya. Huu ni mfano tu. Mbona huko nyuma hatukuona Mv Victoria ikikarabatiwa namna hii kwa mda mfupi na pesa ziikuwepo?

Kwa ujumla alidhibiti upatikanaji wa mapati ya umma na matumizi yake ndio maana hata kwa muda mfupi tulijikupa tunaingia kwenye taifa la kipato cha kati chini.
 
SSH anashindana na Kivuli kinachoonekana, kinachoguswa na Watanzania.

Kila Mkoa ,Kila wilaya, Kila kata,Kuna ALAMA YA JPM.

Sasa kujaribu kumchora JPM kama mtu ambaye hakufaa, ni kujichosha, tunakuangalia tunasema huyu nayeeee.
 
Hayo maendeleo wanayoyafahamu ni lile kundi pendwa la mwendazake
 
Kazi njema afanyazo mtu hujishuhudia zenyewe,haina haja ya kuzishuhudia,ukiona unatumia nguvu kuwaaminisha watu juu ya kazi njema uliyotenda/iliyotendwa basi kaa chini ufikirie upya,huenda kuna walakini juu ya ulichoamini au kuaminishwa.
 
Tatizo la kutumia makalio kufikiria badala ya kujamba
 
Ni mtanzania gani asiyejua kazi ya maana na nzito aliyoifanya hayati JPM kwa ajili ya taifa hili?

Hivi bila kuwa kiongozi unayejitoa muhanga kwa ajili ya taifa lako kusimamia na kudhibiti wala rushwa na mafisadi hili taifa lingekuwa hapa?

Kila nyanja ambayo ilitakiwa isimamiwe vyema ili maendeleo ya taifa letu yapatikane hayati JPM alisimamia vyema tena kwa kwa kujitoa muhanga.

Mfano alipokuwa waziri wa ujenzi kila mtu alishuhudia alivyochapa kazi ili barabara zijengwe.

Alipopata kuwa rais alidhibiti matumizi mabaya ya pesa za umma na zikatumika vizuri na kila mtu alishuhudia ndani ya miaka mitano ya utawala wake mabadiliko makubwa.

Ninapoandika hapa Mv Victoria ni kama meli mpya. Huu ni mfano tu. Mbona huko nyuma hatukuona Mv Victoria ikikarabatiwa namna hii kwa mda mfupi na pesa ziikuwepo?

Kwa ujumla alidhibiti upatikanaji wa mapati ya umma na matumizi yake ndio maana hata kwa muda mfupi tulijikupa tunaingia kwenye taifa la kipato cha kati chini.
Kunywa maji kalale,alishakufa na ameshaoza,haina haja kulialia humu kuhusu Legacy ya Magufuli,grow up
 
Wewe na mwenzio ELITWEGE akili zenu zipo Makalioni badala ya VICHWANI,kila siku mnalialia humu Legacy ya Magufuli legacy ya Magufuli,nyie vipi aisee
 
Kwangu alikuwa waziri wa ujenzi aliyepatia machache na kuharibu mengi.. Urais kamwe hakuuweza .. Viatu vya hiki kiti vilikuwa vikubwa mno kwake
 
Uraisi sio wa kuujaribu yule alikuwa empty headed aliyejaa visasi na vinyongo
 
Back
Top Bottom