Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la amani mbinguni.
• Walitaka kuzima maadhimisho ya mwaka mmoja wa kifo chake but they had no choice, watu wakawa busy na Magufuli kuliko mwaka wao mmoja wa madaraka.
• Na kadhalika.
Poleni sana wahuni. Jiwe anaendelea kuwatesa hata katika umauti wake.