Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sawa mkuuSihitaji kufa ili nimfuate, bado anasihi kupitia mambo makuu aliyoyafanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuSihitaji kufa ili nimfuate, bado anasihi kupitia mambo makuu aliyoyafanya.
Fashisti yupo kuzimu anawaka moto thats all.Umekufa na wewe ukamkuta anawaka moto? Na wewe ulichomwa? Ikawaje unaishi tena au tunaongea na mapepo?
• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la amani mbinguni.
• Walitaka kuzima maadhimisho ya mwaka mmoja wa kifo chake but they had no choice, watu wakawa busy na Magufuli kuliko mwaka wao mmoja wa madaraka.
• Na kadhalika.
Poleni sana wahuni. Jiwe anaendelea kuwatesa hata katika umauti wake.
Kuna mwingine amewekwa Nishati lakini kila siku yupo Ughaibuni utafikiri ni Waziri wa Mambo ya Nje. 😁
Na wewe ukifa ni utakuwa muovu?
Nitajie kiongozi mmoja tu wa juu kabisa aliyewahi kukutana na gaidi.Kwani kukutana naye kunamuondolea ugaidi?
Mkuu hata Mwinyi,Kikwete,Mkapa ama Samia kuna watu wengi sana wanawasema kwa mazuri yao wala huwezi kuwaeleza mabaya yao wakakuelewa.Najisikia faraja sana napopita sehemu nikasikia chuma JPM anatajwa kwa uzuri hasa akiitwa jina " Mzee " ni furaha sana.
Utasikia Mzee alisema......, Mzee alifanya......., Kipindi cha Mzee ilikua......, mara Mzee yeye aliweza..... nk
Wahi Mirembe hospitali usaidiweAlikuua? Alimuua nani? Weka uthibitisho.
Chuma chakavuMAFISADI YANAOGOPA HATA MTU ALIYEKUFA! HAYATAKI KUMSIKIA KABISA.
KWELI JPM ALIKUWA CHUMA!