Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
- Thread starter
- #61
JPM alikuwa chuma kwelikweli.Hata km wapinge,magufuli was the best president ever Kwa Tanzania na Africa mashariki.
Pamoja na madhaifu yake ila ataendelea kukumbukwa na wengi,kwani kazi zake ziliwagusa wengi hasa wanyonge...na siyo mafisadi.
Ule ukoo uliokuwa umeundwa wa mafisadi tangu kipindi cha JK ndiyo kila siku wanaponda kazi za JPM.
Ni mmoja wa viongozi bora kabisa kuwahi kutokea Africa.
His legacy lives to date.