eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ulishawahi kufa mkuu?
Mara kibao tu.
Hata wewe unakufa daily. Unashangaa kumepambazuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kufa mkuu?
Huenda unayosema ni kweli. Hebu tuwekee uthibitisho mkuu.Mkuu umepigwa ganzi na hufurukuti kwa penzi lako kwa mwendazake.
He is dead
Repeat DEAD!
Alifanya mengi mazuri, lakini mengizaidi mabaya vile vile, na ndio maana kuna watu wanafurahia kuondoka kwake maana kesi za kubambikw zimefutwa, walioporwa wamefurahi, waliotumika kma Sabaya(na wewe inaelke) sasa wanakula karma ya waliyoyatend.
Ubaya haulipi.
Katika uo ubaya kulikuwepo utekaji, ubambikaji, unyang'anyaji wa mali(Makonda sasa hivi naona joto ya jiwe), uuaji.
Kuna watu walifia jela, kama mzee Shamte wa TPSF( Mungu aiweke roho yake pema peponi), na wengine kutekwa na kutoonekana asilani-Ben Saa Nane.
Sasa kama mtoa mada you are comfortable na hili au haya yote -UNA MATATIZO.
Si mlikuwa mnafanya kwa kificho, kuna siku mlijitangaza?Huenda unayosema ni kweli. Hebu tuwekee uthibitisho mkuu.
Chuma inaliwa kutuMAFISADI YANAOGOPA HATA MTU ALIYEKUFA! HAYATAKI KUMSIKIA KABISA.
KWELI JPM ALIKUWA CHUMA!
Binafsi sijawahi kufa mkuu.
Duh! Hebu tupe uzoefu, kwahiyo huwa unaenda kuzimu?
Akili huna..,! Siku zote hizo alizokuwepo walikuwa hawapumui ilikuwaje wasife kwa kosa hewaMwaka mmoja bila muuaji katili, sasa watu angalau wameanza kupumua na kufurahia uhuru wao
Mwili ndio ubaki udongoni,nafsi na roho yako uenda paradiso au kuzimu tegemeana na matendo yako.Usiogope kijana. Kufa ni hali ya kutokuwepo. Ni kinyume cha uhai. Huendi kuzimu wala peponi, bali unarudi kwenye udongo mahali ulipotwaliwa au ulipotoka.
Asante mkuupole mkuu.