Basima Ogenze
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 786
- 881
Choko choko zinaanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wengine bado wanamuita mwendazake!Najisikia faraja sana napopita sehemu nikasikia chuma JPM anatajwa kwa uzuri hasa akiitwa jina " Mzee " ni furaha sana.
Utasikia Mzee alisema......, Mzee alifanya......., Kipindi cha Mzee ilikua......, mara Mzee yeye aliweza..... nk
Ni Rais bora sana.Mi nakumbuka tu "Iiiiiiiiiiii"
Jiwe angekuwa Rais bora Sana angekuwa na subira ya kutamka kinywani na angekubali kukosolewa
Nimekuwa nauliza na narudia,kifo cha Mwendazake ni sherehe ya Kitaifa?• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la amani mbinguni.
• Walitaka kuzima maadhimisho ya mwaka mmoja wa kifo chake but they had no choice, watu wakawa busy na Magufuli kuliko mwaka wao mmoja wa madaraka.
• Na kadhalika.
Poleni sana wahuni. Jiwe anaendelea kuwatesa hata katika umauti wake.
Kiukweli wanaomkumbuka sijui wao walifaidika na nini maana binafsi naona kama Nchi tulikula hasara na kurudi nyuma Sana.Binafsi simkumbuki,
Zilipendwa!Najisikia faraja sana napopita sehemu nikasikia chuma JPM anatajwa kwa uzuri hasa akiitwa jina " Mzee " ni furaha sana.
Utasikia Mzee alisema......, Mzee alifanya......., Kipindi cha Mzee ilikua......, mara Mzee yeye aliweza..... nk
Magufuli ameshakufa. Hayupo tena kwenye uhai.Si umesema Magufuli yupo kuzimu na kwamba huwa unakufa kila siku?
Ni mradi gani unaendelea vizuri?Kiukweli wanaomkumbuka sijui wao walifaidika na nini maana binafsi naona kama Nchi tulikula hasara na kurudi nyuma Sana.
Nikiangalia mwaka mmja wa Samia una tija kuliko ilivyokuwa hapo awali,mambo yote ya msingi yanakwenda bila stress..
Tulikuwa tunaambiwa hakuna ajira na such nonsense kwamba pesa inaenda kwenye miradi,mbona pesa zinaenda na ajira zinaendelea chini ya mama?
Yaani nimkumbuke mtu alikuwa mwongo,katili na aliyependa kujisifu ?
Sasa mbona unaweweseka.
Kwani wewe ulishawahi kufa?