Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Wewe ndiyo hujajibu swali.Nimekuuliza Rais akikutana na wewe unakuwa mwema ghafla?
Kama ni gaidi ugaidi wako unaisha? Jibu swali Acha kurukaruka.
Rais yupi uliwahi kusikia amekutana na gaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo hujajibu swali.Nimekuuliza Rais akikutana na wewe unakuwa mwema ghafla?
Kama ni gaidi ugaidi wako unaisha? Jibu swali Acha kurukaruka.
Mimi na Magufuli tunaamini kwa Mungu mmoja aliyejidhirisha kwetu katika nafsi tatu:Pambana na uyo mungu wako wengne ata hawamkumbuki na wala hawamuitaji
Ila ni haki yako kikatiba kujadili na kuonesha mapenzi kwa mungu mtu wako
Mkuu unajiwewesesha mwenyewe baada ya kukosa ujiko wa kuteka na kupora mali za wananchi mliokuwa mnawabambika eti magaidi au wahujumu uchumi.• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la amani mbinguni.
• Walitaka kuzima maadhimisho ya mwaka mmoja wa kifo chake but they had no choice, watu wakawa busy na Magufuli kuliko mwaka wao mmoja wa madaraka.
• Na kadhalika.
Poleni sana wahuni. Jiwe anaendelea kuwatesa hata katika umauti wake.
Mzee alifanya mambo makubwa sana ndani ya muda mfupi.Najisikia faraja sana napopita sehemu nikasikia chuma JPM anatajwa kwa uzuri hasa akiitwa jina " Mzee " ni furaha sana.
Utasikia Mzee alisema......, Mzee alifanya......., Kipindi cha Mzee ilikua......, mara Mzee yeye aliweza..... nk
Nape waziri wetu aisee.....aliyeuchukia kufa uporaji, uonezi na utekaji uliokuwa unaendeshwa na jamaa zako au wewe mwenyewe ndani ya Awamu.Kina Nape ndio hadi wamepagawa, wanapinga kila kitu kinachohusu au chenye lengo la kumpa sifa JPM.
Iddi Amini ni mbaya kwa Watanzania kwa kuwa aliingilia masilahi yetu, ila kwa Waganda he was the best. Usipumbazwe na propaganda za Nyerere.Hata Idd Amin bado anao wafuasi , Kampala, Jinja , Tororo, Mbarara , Entebbe na Kwingineko.
Utamuonaje bila kufa?
SawaUkifa unakuwa mbolea. Hamna story zaidi ya hapo. Kwa ufupi unakuwa katika hali ya kama vile kabla hujazaliwa na kuanza kujitambua.
Mbona huwa wanasema eda mnamaliza baada ya siku 40?Jiwe, chuma, mwamba - the best president Tanzania has ever had.
Tunatimiza mwaka mmoja sasa lakini legacy anayopambana nayo ndio kwanza inazidi kushika hatamu.Nape waziri wetu aisee.....aliyeuchukia kufa uporaji, uonezi na utekaji uliokuwa unaendeshwa na jamaa zako au wewe mwenyewe ndani ya Awamu.
Huoni mwenzio Mtwara kaendeleza sera za uporaji na uuaji sasa yuko kwa Pilato.