Utamuonaje bila kufa?Kwenda Chatto mpaka use boss?
Ni bora kama ungekufa na kumfuata naona kulinda kaburi hakukutoshi !! Maanake kila dakika unakuja na uzi wake.• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la amani mbinguni.
• Walitaka kuzima maadhimisho ya mwaka mmoja wa kifo chake but they had no choice, watu wakawa busy na Magufuli kuliko mwaka wao mmoja wa madaraka.
• Na kadhalika.
Poleni sana wahuni. Jiwe anaendelea kuwatesa hata katika umauti wake.
Gaidi mama angekutana naye usiku usiku ?!. Matoto ya lumumba matope kichwani. Hovyo kabisaTimu gaidi wamefilisika kabisa kiuchumi.
Sasa mkuu wewe ni nani unatupangia watu wa kuwakumbuka na mambo ya ku-post!!? 😁Ni bora kama ungekufa na kumfuata naona kulinda kaburi hakukutoshi !! Maanake kila dakika unakuja na uzi wake.
Huyo akumbukwe na family yake, chawa wake labda na wana Chato kidogo.
Ne geko nkhoi
Yule mshirikina hana cha legacy wala nini yuko kuzimu now.• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19.
• Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi.
• Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la amani mbinguni.
• Walitaka kuzima maadhimisho ya mwaka mmoja wa kifo chake but they had no choice, watu wakawa busy na Magufuli kuliko mwaka wao mmoja wa madaraka.
• Na kadhalika.
Poleni sana wahuni. Jiwe anaendelea kuwatesa hata katika umauti wake.
Ndiyo ufe sasa umfuateMambo makuu aliyoyatenda yangalipo hata sasa.
Tunamuona kupitia kwayo.
Yupo huko anawaka moto... lile fashisti lisingekufa Sabaya angechoma watu moto...Umeenda kuzimu ukamkuta?