Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

Popoma mkuu ukiwa kwenye kazi yako, hivi huwa unalipwa shilingi ngapi? Kutwa nzima kusifu upumbavu, wakati watu mtaani wanateseka, maisha yanazidi kuwa magumu, ebu tupeni na sisi hii michongo ya kusifu na kuabudu naona inalipa sana hii kazi.
 
Wakati mnashabikia mambo mnayofanya huku Ubungo manispaa barabara za mitaa ni mbovu kupindukia hasa kwenye kata za Mbezi,Kibamba na king'ong'o naomba mtieleze mna mpango gani na utatekelezwa lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Popoma mkuu ukiwa kwenye kazi yako, hivi huwa unalipwa shilingi ngapi? Kutwa nzima kusifu upumbavu, wakati watu mtaani wanateseka, maisha yanazidi kuwa magumu, ebu tupeni na sisi hii michongo ya kusifu na kuabudu naona inalipa sana hii kazi.
Unateseka ukiwa mtaa gani na hao unaowasemea?

Mbona wewe ndio mpumbavu pamoja na yule mumeo anaeoza huko?

Maskini legacy inasahaulika kwa Kasi sana 😬😬😬

Umejaa usaha kichwani,nalipwa milioni kwa siku.
 
Hii ya TARURA, naunga mkono hoja maana mimi mwenyewe ni shuhuda wa kazi nzuri kabisa ya kupendeza na kutukuka inayofanywa na Tarura kwa Barabara za Vijijini na Mijini.

Hebu shuhudia
P
Uwe unawatagi sukuma gang wenzako wanaoteseka kuona legacy inapukitika πŸ˜€πŸ˜€
 
Ona mwingine huyu anavyopata tabu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Barabara za Tarura hazihitaji proposal bali pesa tuu.

Mwisho proposal ndio kufanya kitu kuwa actual? Kama ni proposal basi kila sekta ziko za kutosha ishu ni pesa.

Matokeo ya tozo haya hapa πŸ‘‡

Nilikuwa kidabaga last week, hiyo barabara ya kidabaga to boma la ng'ombe wanakijiji wote wanafahamu imejengwa na mzungu baada ya kuwa anapata changamoto kufika kwenye mashamba yake. So, nashindwa kuelewa which is which.
 
Unateseka ukiwa mtaa gani na hao unaowasemea?

Mbona wewe ndio mpumbavu pamoja na yule mumeo anaeoza huko?

Maskini legacy inasahaulika kwa Kasi sana 😬😬😬

Umejaa usaha kichwani,nalipwa milioni kwa siku.
Ahahaha nimegundua kumbe hazikutoshi, hebu jibu kwa ujasiri wote ulionao hili swali

Ni nani anaeishi leo kwakua ametaka yeye? Ni nani ambae hataoza kama huyo unaemcheka humu??

Uhai nao ni kitu cha kujidai??

Ungekomaa na kumsifu huyo dada, maswala ya watu kuoza ni given kwa wote.
 
Nani kasema ni jitihadi binafsi? Nguvu gani inatumika hapa?

Si huwa mnasema mnataka kupata mrejesho sasa huu ndio mrejesho wenyewe wa tozo nk .

You people mna shida gani nyie ?
Nyie chawa acheni kuwafanya watanganyika ni wajinga sana,wewe Ni kula kulala hujui shida zinazowapata wanakijiji,tembelea Vijijini ukajionee usituletee vipicha vya kwenye mitandao.
 
Nilikuwa kidabaga last week, hiyo barabara ya kidabaga to boma la ng'ombe wanakijiji wote wanafahamu imejengwa na mzungu baada ya kuwa anapata changamoto kufika kwenye mashamba yake. So, nashindwa kuelewa which is which.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nimecheka kishenzi.

Mkuu huko kuna mradi unaitwa Agri connect funded by European Union,uko mikoa ya Iringa,Njombe,Mbeya na baadhi ya mikoa yenye uzalishaji wa Mazao ya kilimo na biashara hakuna cha mzungu wala nani 😬😬..

Tuwekee huyo Mkandarasi wa kizungu utuonueshe hapa
 
Nyie chawa acheni kuwafanya watanganyika ni wajinga sana,wewe Ni kula kulala hujui shida zinazowapata wanakijiji,tembelea Vijijini ukajionee usituletee vipicha vya kwenye mitandao.
Nakula na kulala kwa pesa za nani? Watanganyika wameanza kupata shida awamu ya 6? 🀣🀣
 
Mkuu hayo mengine sijui kama imejengwa na serikali basi wanakijiji waache kujazana ujinga. Hiyo barabara imekuwa mkombozi sana kwasasa nafika na gari mpaka kwenye mashamba yangu.
 
Endelea kujitanguliza mbele wakati imedinda upelekewe moto 🀣🀣
 
Uwe unawatagi sukuma gang wenzako wanaoteseka kuona legacy inapukitika πŸ˜€πŸ˜€
Japo mimi ni Msukuma, but it's very unfortunately, mimi sio Sukuma gang, tena kiukweli, hakuna kikundi, kundi, group, linalaitwa Sukuma Gang, this is fictitious group lililoundwa na yule mzushi wa Twitter, but in reality, there is no any Sukuma gang, it doesn't exist anywhere!.
P
 
Unateseka ukiwa mtaa gani na hao unaowasemea?

Mbona wewe ndio mpumbavu pamoja na yule mumeo anaeoza huko?

Maskini legacy inasahaulika kwa Kasi sana 😬😬😬

Umejaa usaha kichwani,nalipwa milioni kwa siku.
Punguza mihemko za kijinga, ata kama unalipwa, hakika ungezaliwa msichana ungepewa mimba adi za masikioni na puani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Endelea kujitanguliza mbele wakati imedinda upelekewe moto 🀣🀣
Usingekuwa fukara ningejaribu kujibizana na wewe, ila kwakua ni masikini hohehae siwezi kubishana mtu wa daraja la chini kama wewe.

Nimeishia hapa.
 
Kwa nini mnawafanya WaTz mabwege kiasi hiki
Pesa ni za walipa kodi kwa nini kuaminisha mtawala ndio kajenga barabara njia vijinjia

This has to stop
Tuna kizazi cha wapumbavu wengi
Huyu ni kiongozi sio mwenye nchi tuelewane vizuri
Mwaka mmoja kafanya alifanya atanya hizi ngonjera waimbieni wajinga wenzenu

It's ridiculous!
 
Na wapumbavu wengi ni wale wanaojiita wasomi sasa,
Watu hawana hata utashi wa kuchangamua mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…