The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #81
Legacy inazidi kufutwa π€£π€£π€£.Punguza mihemko za kijinga, ata kama unalipwa, hakika ungezaliwa msichana ungepewa mimba adi za masikioni na puani.πππ
Kwa hiyo huwataki tena wanyonge? Umeamua kuwakana mara tatu? πππUsingekuwa fukara ningejaribu kujibizana na wewe, ila kwakua ni masikini hohehae siwezi kubishana mtu wa daraja la chini kama wewe.
Nimeishia hapa.
Unafiki uko wapi hapo? Kuonyesha Kazi ya Rais kupitia Tarura au?Hii nchi ina unafiki mwingi sana
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.
Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.
Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.
Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.
Twende Kazi Mama matunda yako tunayaonaπ
View attachment 2175274
View attachment 2175173
View attachment 2175174
View attachment 2175175
View attachment 2175176
View attachment 2175177
View attachment 2175178
View attachment 2175179
View attachment 2175180
View attachment 2175181
View attachment 2175182
View attachment 2175183
Acheni unafiki vijana fanyeni kaziUnafiki uko wapi hapo? Kuonyesha Kazi ya Rais kupitia Tarura au?
Mafisaji nyieNa wewe kahujumu kwani hupendi pesa? Mtaishia hivyo hivyo
Sio vibaya nguvu kubwa ikitumika kuonyesha kodi yetu inafanya kazi gani na inatumika vipi. Mtu kama hana taarifa pana ya nini kinachofanyika nchini mwake huingia katika lile kundi la walalamikaji wasio na sifa ya kusikilizwa, kwa bahati mbaya wa aina hiyo wapo wengi sana.Kwanini nguvu kubwa sana inatumika kutuaminisha kuwa kila maendeleo yanayofanyika ni jitihada binafsi ya raisi. Hizi hongera zimekuwa nyingi kama vile pesa inatoka mfukoni kwake.
Na wewe kuwa mbwehaMafisaji nyie
Kazi huzioni?Acheni unafiki vijana fanyeni kazi
Ipo siku tutawakamataNa wewe kuwa mbweha
Saizi ni uwazi na ukweli,hayo madudu yako wapi? Weka hapa kila mtu alone,kwani Loliondo hakuna network?Kamati ya bunge tembeleeni miradi ya TARURA huko vijijini mfano longido, simanjiro,karatu , Hai na kondoa muone madudu yaliyopo.
Kama pesa ni za Watanzania Rais wao ni nani? Kijiba cha roho ππKwa nini mnawafanya WaTz mabwege kiasi hiki
Pesa ni za walipa kodi kwa nini kuaminisha mtawala ndio kajenga barabara njia vijinjia
This has to stop
Tuna kizazi cha wapumbavu wengi
Huyu ni kiongozi sio mwenye nchi tuelewane vizuri
Mwaka mmoja kafanya alifanya atanya hizi ngonjera waimbieni wajinga wenzenu
It's ridiculous!
Ona hili tumbili ,bei zikipanda alaumiwe Samia ,mambo yakiwa mazuri hapana π€£π€£π€£π€£Idiot
Hili jangili haliwezi kukuelewa mkuuIdiot
Saizi ni uwazi na ukweli,hayo madudu yako wapi? Weka hapa kila mtu alone,kwani Loliondo hakuna network?
Wanyonge wasiojitambua kama wewe nanu anaeweza kuwasaidia??Kwa hiyo huwataki tena wanyonge? Umeamua kuwakana mara tatu? πππ
Alichagulia ma watanzania wa wapi? Huyo dada yenu failure hana uwezo wowote wa kuongoza.Kama pesa ni za Watanzania Rais wao ni nani? Kijiba cha roho ππ
Bei zikipanda lawama kwa Rais ila akifanya vizuri ni Watzn π¬π¬.
Nasimama na Simba wa Yuda!!!!!Nawasalimu kwa jina la JMT.
Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.
Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.
Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.
Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.
Twende Kazi Mama matunda yako tunayaonaπ
View attachment 2175274
View attachment 2175173
View attachment 2175174
View attachment 2175175
View attachment 2175176
View attachment 2175177
View attachment 2175178
View attachment 2175179
View attachment 2175180
View attachment 2175181
View attachment 2175182
View attachment 2175183
Maendeleo yapo ndugu. Machinga wanavurumishwa na tubidhaa twao wasionekane mitaani. Mgambo waliokuwa wamepotea kipindi cha Simba wa Yuda sasa wanerudi kwa speed ya vururuvururu. Mgawo wa umeme tushaambiwa tutake tusitake lazima uwepo. Mwisho wa siku wao wanaramba asali! Unataka maendeleo gani zaidi ya hayo?Hata maendeleo yenyewe yapo wapi?