Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

Punguza mihemko za kijinga, ata kama unalipwa, hakika ungezaliwa msichana ungepewa mimba adi za masikioni na puani.😂😂😂
Legacy inazidi kufutwa 🤣🤣🤣.

Wewe sukuma gang hawakulipi?
 
Usingekuwa fukara ningejaribu kujibizana na wewe, ila kwakua ni masikini hohehae siwezi kubishana mtu wa daraja la chini kama wewe.

Nimeishia hapa.
Kwa hiyo huwataki tena wanyonge? Umeamua kuwakana mara tatu? 😆😆😆
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.

Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.

Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.

Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.

Twende Kazi Mama matunda yako tunayaona👇
View attachment 2175274
View attachment 2175173

View attachment 2175174

View attachment 2175175

View attachment 2175176

View attachment 2175177

View attachment 2175178

View attachment 2175179

View attachment 2175180

View attachment 2175181

View attachment 2175182

View attachment 2175183

Kamati ya bunge tembeleeni miradi ya TARURA huko vijijini mfano longido, simanjiro,karatu , Hai na kondoa muone madudu yaliyopo.​

Kwanini nguvu kubwa sana inatumika kutuaminisha kuwa kila maendeleo yanayofanyika ni jitihada binafsi ya raisi. Hizi hongera zimekuwa nyingi kama vile pesa inatoka mfukoni kwake.
Sio vibaya nguvu kubwa ikitumika kuonyesha kodi yetu inafanya kazi gani na inatumika vipi. Mtu kama hana taarifa pana ya nini kinachofanyika nchini mwake huingia katika lile kundi la walalamikaji wasio na sifa ya kusikilizwa, kwa bahati mbaya wa aina hiyo wapo wengi sana.
 
Kamati ya bunge tembeleeni miradi ya TARURA huko vijijini mfano longido, simanjiro,karatu , Hai na kondoa muone madudu yaliyopo.​

Saizi ni uwazi na ukweli,hayo madudu yako wapi? Weka hapa kila mtu alone,kwani Loliondo hakuna network?
 
Kwa nini mnawafanya WaTz mabwege kiasi hiki
Pesa ni za walipa kodi kwa nini kuaminisha mtawala ndio kajenga barabara njia vijinjia

This has to stop
Tuna kizazi cha wapumbavu wengi
Huyu ni kiongozi sio mwenye nchi tuelewane vizuri
Mwaka mmoja kafanya alifanya atanya hizi ngonjera waimbieni wajinga wenzenu

It's ridiculous!
Kama pesa ni za Watanzania Rais wao ni nani? Kijiba cha roho 😂😂

Bei zikipanda lawama kwa Rais ila akifanya vizuri ni Watzn 😬😬.
 
Saizi ni uwazi na ukweli,hayo madudu yako wapi? Weka hapa kila mtu alone,kwani Loliondo hakuna network?

5C1CE600-7214-455D-AE1E-B331345A3C1A.jpeg
 
Kama pesa ni za Watanzania Rais wao ni nani? Kijiba cha roho 😂😂

Bei zikipanda lawama kwa Rais ila akifanya vizuri ni Watzn 😬😬.
Alichagulia ma watanzania wa wapi? Huyo dada yenu failure hana uwezo wowote wa kuongoza.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi.

Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti, barabara za Vijijini ilikuwa ni kilio kikubwa sana kwa wanachi wa Vijijini lakini mama alisikia kilio na Sasa matokeo yanaonekana.

Sio tuu barabara za changarawe na madaraja yanajengwa bali hadi Vijijini huko lami zinazidi kutandazwa.

Bado mama ana miaka 4 zaidi,wanaomchukia watampenda wenyewe bila kulazimishwa.

Twende Kazi Mama matunda yako tunayaona👇
View attachment 2175274
View attachment 2175173

View attachment 2175174

View attachment 2175175

View attachment 2175176

View attachment 2175177

View attachment 2175178

View attachment 2175179

View attachment 2175180

View attachment 2175181

View attachment 2175182

View attachment 2175183
Nasimama na Simba wa Yuda!!!!!
 
Hata maendeleo yenyewe yapo wapi?
Maendeleo yapo ndugu. Machinga wanavurumishwa na tubidhaa twao wasionekane mitaani. Mgambo waliokuwa wamepotea kipindi cha Simba wa Yuda sasa wanerudi kwa speed ya vururuvururu. Mgawo wa umeme tushaambiwa tutake tusitake lazima uwepo. Mwisho wa siku wao wanaramba asali! Unataka maendeleo gani zaidi ya hayo?
 
Back
Top Bottom