Hahaahah. . .
Nyamayao kwani wadada wa kileo tukoje jamani?
Au wakaka wa kileo ndio tatizo?
hahahahahaha! Mi mwenyewe nishaona ananikomaza. Lol. Heri ya mwaka mpya nyamayao.
Hahahahaha. . . .mi mtu akiniuliza namwambia "siku atakaponiletea mchumba."
Hivi kumuuliza hivi ndugu au rafiki ni sahihi kweli?
heee bro! hus bado mdogo ucmkomaze na haya mandoa yenu ya kuvumilia mpaka ukamilifu wa dahari.
msiwatishe watoto/vijana......
DC......kwema Ta lakini mkiuu??
Hapo kwenye number 1 hapo ndo mi nipo hapo, sipaachii mwaka huu.
Nyamayao, nimekumisi asee....upo mama?
Lizzy, heri ya mwaka mpya.
Nadhani wanafanya hivyo kwasababu hata kama unampenda mwenzako kiasi gani, usipoweza kuvumilia madudu anayilokufanyia hakutakua na ndoa tena hapo. Ila ukiweza kumvumilia hata kama upendo "umeenda safari na haujulikani utarudi lini" bado mtabaki kuwa wanandoa hata kama huko ndani mtakua mnaact tofauti.[/QUOTE]
Kwa kauli hii,
Naweza bila shaka yoyote kwamba nitapingwa na wazee wenzangu kukutangaza kuwa umehitimu na unakaribishwa kwenye mahafali yatakayofanyika tarehe ambayo itatangazwa shortly,
Well done Lizzy,
Babu DC!
Happy New year na wewe dada,
Mie nadhani tunahitaji kuwaeleza sana hawa vijana kwamba wasiingie kwenye ndoa na dreams za mapenzi ya kwenye TV badala yake wabebe magunia ya uvumilivu, kwani hiyo itakuwa ni asset ya nguvu sana. Hata hivyo ni muhimu kujiandaa kutoa upendo wa hali ya juu na kutegemea kupewa kidogo tu. Ila kwa kuwa watakuwa na salio la kutosha la uvumilivu basi hawatayumba!
Nahofia sana ninaposikia vijana wakiongelea hayo mambo yao wanaita love, love, love,..... ambayo binafsi sijui kama maana yake sahihi kwa kimatumbi chetu ni upendo!!
Babu DC!!
Babu na huo uvumilivu anahitajia kuwa nao mmoja wa wanandoa tu?Happy New year na wewe dada,
Mie nadhani tunahitaji kuwaeleza sana hawa vijana kwamba wasiingie kwenye ndoa na dreams za mapenzi ya kwenye TV badala yake wabebe magunia ya uvumilivu, kwani hiyo itakuwa ni asset ya nguvu sana. Hata hivyo ni muhimu kujiandaa kutoa upendo wa hali ya juu na kutegemea kupewa kidogo tu. Ila kwa kuwa watakuwa na salio la kutosha la uvumilivu basi hawatayumba!
Nahofia sana ninaposikia vijana wakiongelea hayo mambo yao wanaita love, love, love,..... ambayo binafsi sijui kama maana yake sahihi kwa kimatumbi chetu ni upendo!!
Babu DC!!
2 u 2 sweetheart....wa2 wanalalama humu then hao hao wanaulizwa wataingia lini kama vile wamesha solve hizo problems.
wakaka wa kileo ndio stroke yenyewe...madada wa kileo hamna uvumilivu kbsa c nawasoma humu?...hv Lizzy unaweza kujua mr wako ana hawara mpaka unapelekwa alipo na kushuhudia na kulala nje kwa miezi 6 mfululizo, hali/ hanywi ndani, yani yeye ni kubadili nguo asubuhi na kumuona kesho asubuhi kuja kubadili nguo tena awahi ofc na hapo umemuandalia mpaka boxer?
huku 2naparangana kufa na kupona bado hao hao wanauliza haya maswali.....haya bwana, ndoa zilikuwa enzi hizo za sasa kama unataka pressure/kisukari karibu sana...huwaga nawahurumia wadada wa kileo jamani cjui mtayaweza?
wa2 2na act kina Kanumba cha mtoto...haya bwana ngoja 2subirie mpaka cku m2 utakapoamua kuamka asubuhi na kufungasha malifeti yako...(when a woman is fed up)..inakera sana.
DC......kwema Ta lakini mkiuu??
Hapo kwenye number 1 hapo ndo mi nipo hapo, sipaachii mwaka huu.
Nyamayao, nimekumisi asee....upo mama?
Lizzy, heri ya mwaka mpya.
Khaaaa. . .ndoa imekua biashara?Kama ni rafiki yako kweli na kwa ajili ya kujiandaa na michango ya harusi ambayo kwa bongo sasa hivi unatumia kama RV4 moja au zaidi kwa mwaka, nadhani ni sawa tu kumuuliza!
Kwa kauli hii,
Naweza bila shaka yoyote kwamba nitapingwa na wazee wenzangu kukutangaza kuwa umehitimu na unakaribishwa kwenye mahafali yatakayofanyika tarehe ambayo itatangazwa shortly,
Well done Lizzy,
Babu DC!
Hahahaaha. . . .AHSANTE BABU.
Ila kuhitimu sio kazi, kazi kutumia nilichojifunza.
hivi kwann m2 ujiandae kujitolea kiac hicho na unajua kabisa unapokea kidunchu? hapo ndio nasemaga bora ckuolea nikijua maana ya ndoa, nilijua zile my baby ni kati yangu me na ngosha, sasa hawa wa kileo wameshajiweka kama zile baby hazitakiwa kutoweka midomoni mwa wapendwa wao, ndio suala la mauvumilivu ye2 na yao yanapotofautiana, kazi wanayo!....
mi nikisikia matatizo ya watu ndio nazidi kuchoka ingawa haimaanishi mwenzako akifikwa na mabaya nawe yatakufika ila inaogopesha.
Babu na huo uvumilivu anahitajia kuwa nao mmoja wa wanandoa tu?
Hata mimi nashindwa kuelewa maana ya ndoa inakua wapi iwapo watu wataingia wakijua kabisa watatakiwa wajitoe sana kwa wenzi wao bila kutegemea chochote. Hii taasisi inaonekana imekaa kibinafsi sana kwa style hii.
hivi hizi ndoa za cku hizi ha2hubiriwi upendo tena bali uvumilivu?...mhhh juzi naongea na mama nyamayao naambiwa vumilia 2 mwanangu....hii vumilia ipo upande mmoja 2?....haya bwana...HAPPY NEW YEAR KWENU NYOTE...ngoja 2endelee kuvumilia.
Hahahahaha. . . .mi mtu akiniuliza namwambia "siku atakaponiletea mchumba."
Hivi kumuuliza hivi ndugu au rafiki ni sahihi kweli?
wakaka wa kileo ndio stroke yenyewe...madada wa kileo hamna uvumilivu kbsa c nawasoma humu?...hv Lizzy unaweza kujua mr wako ana hawara mpaka unapelekwa alipo na kushuhudia na kulala nje kwa miezi 6 mfululizo, hali/ hanywi ndani, yani yeye ni kubadili nguo asubuhi na kumuona kesho asubuhi kuja kubadili nguo tena awahi ofc na hapo umemuandalia mpaka boxer?[/QUOTE]
Duuuuu,
Hapo sijui kama kinachohitajika ni uvumilivu...May be ni kitu kingine kabisa...
Ni kipimo cha mambo mengi ikiwemo level ya adrenaline na kama wewe ni binadamu wa kawaida mwenye hasira kama sie au new brand ambayo imeondolea vifaa vinavyosababisha hasira!!