Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…


kwa stress za kisasa za ndoa, dinner ni k2 kidunchu sana kwenye ndoa cku hizi kwanza wanawake wengi ndio tunakulaga makombo,ukija umejichokea na kazi/mihangaiko/kimada/beer...bac unakula bila kunawa na unajishibia/una pretend kumliwaza nyamayao huku ukijua ulikotoka umejishibia....cwatishi wadogo zangu but ndoa ni tamu dana na chungu sana na uvumilivu 150%...
 
mi nikisikia matatizo ya watu ndio nazidi kuchoka ingawa haimaanishi mwenzako akifikwa na mabaya nawe yatakufika ila inaogopesha.


Matatizo ya kwenye ndoa ni sehemu ya maisha.....

Hata anapokufa mgonjwa mmoja, wengine hawakimbii hospitali!!
 
Reactions: Mbu
wa2 2na act kina Kanumba cha mtoto...haya bwana ngoja 2subirie mpaka cku m2 utakapoamua kuamka asubuhi na kufungasha masalifeti yako...(when a woman is fed up)..inakera sana.

...dahhh, nyamayao yamekukumba yepi tena ilhali ndio kwanza tupo ukurasa wa pili 2012?
vumilia bana, punguza expectations zako kwake/kwenye hayo maisha...
yaani inafikia wakati unamchukulia mtu ndio majaaliwa yako, baada ya hapo kila anachofanya hakitakukera tena.


@babu DC, najua ipo siku nitajitosa mazima kwenye ndoa ila dah........

...okey, okey....kwa nijuavyo neno hilo jekundu linavyo-sound, nakukubalia kabisa muda bado...subiri!
 

unaona sasa....wengine 2livumilia na 2po mpaka sasa...haya bwana uvumilivu wa cku hizi upo mvomero wewe upo ungaltd...wapi na wapi?
 


Nakubaliana na wewe,

Hii ni ngumu si tu kuvumilika bali hata kueleweka kwa watu tulio wengi!!
 
Mbu bro wangu wala hayajanikumba nafanya 2 kurewind tape, sasa hivi nipo shwari nawatolea 2 mfano warembo we2 humu.....
 

Kaaazi kweli kweli!!
Inabidi watu wawe wanaandikishana (makubaliano ya nini wafanye/wasifanye wakishaoana) na kuwe na sheria za kulinda wanandoa wanaoonewa. Ukimnyima mume chakula bila sababu ya msingi unalipishwa fine, ukitoka nje ya ndoa unalala Keko mwezi. . . . labda discipline itaongezeka.
 
nipo baba...mic u 2.....heri ya mwaka kwako!...namckilizia 2 DC na sera zake za kuimarisha ndoa mwaka huu...cjui ha2kutakiwa kuziimarisha kuanzia 2lipopanda mbegu?....

Tunajiribu kuwapa moyo wadau ili waunge unge na siku ziende.

Ila ni kazi ngumu kweli dada!!
 
Nakubaliana na wewe,

Hii ni ngumu si tu kuvumilika bali hata kueleweka kwa watu tulio wengi!!


na wengine 2liambiwa 2vumilie ndio ndoa hizo na 2kavumilia na sasa 2naendelea kusukuma gurudumu la ndoa....
 
Matatizo ya kwenye ndoa ni sehemu ya maisha.....

Hata anapokufa mgonjwa mmoja, wengine hawakimbii hospitali!!

...ati bana, wakumbushe waelewe bana....hata kwenye kiapo kasisi aliyatamka haya ya "kwa shida na raha!"...
jamani vumilieni ndoa zenu 2012, mtafaidi sana....kumbukeni, baada ya dhiki faraja!
 
Tunajiribu kuwapa moyo wadau ili waunge unge na siku ziende.

Ila ni kazi ngumu kweli dada!!

2napowapa moyo waunge unge ndio 2naharibu kabisa, ni bora 2waambie ukweli but wajue kila ndoa na sekeseke lake, hakuna formula....ni tamu sana na chungu sana...
 
hahahahah umenipa raha ya kulalia.....wenzio 2meshazoea...sasa cjui nyie kama mtaweza kujitoa mhanagahivi, ukweli ni kwamba mwanamke ndio huwa anajitoa kwa asilimia kubwa sana kwenye ndoa......
Niseme tu ukweli tukishafikia hatua ya mimi kumfulia boxer alizochafua huko kwa nyumba ndogo huo ndio mwisho wa safari yetu pamoja. Ila wanaoweza wao waendelee tu. . . .
 
Mbu bro wangu wala hayajanikumba nafanya 2 kurewind tape, sasa hivi nipo shwari nawatolea 2 mfano warembo we2 humu.....

...aha, ok....mie mwenzio majalada ya kumbukumbu yote nimeshaya tupa kule! ...2012 naanza kitabu chenye kurasa mpya...

...sina haja tena ya kujibebesha machungu ya 2011, niliyotoka nayo 2010 niliyochanganya na yale ya 2009 niliyoyaanza 2008...
 


ctaki kucheka mie jamani...kwamba ndio njia za mkato zitakosekana?...na unategemea mie nyamayao nikimbizane na sheria zenu wkt bado nampenda ngosha wangu nikajidhalilishe na masheria yenu huku naumia moyoni kwa mapendo?....
 

Mbu we uko tayari kuingia kwenye ndoa na mtu ambae una "LOW EXPECTATIONS"kuhusu yeye au una "LOW EXPECTATIONS" na maisha yenu pamoja? Hapo naona kama mtu utakua unaamua kutimiza jukumu la kuoa/olewa tu na sio unafanya kwakua unapenda. Binafsi siwezi kwakweli.
 
Reactions: Mbu
Nakubaliana na wewe,

Hii ni ngumu si tu kuvumilika bali hata kueleweka kwa watu tulio wengi!!
Khaaa. . . afadhali babu upo kuniambia "umefanya maamuzi sahihi mjukuu wangu" yakinikuta badala ya kunilazimisha kuvumilia mpaka ufuatwe kuombwa rambirambi.
 

...aha, ok....mie mwenzio majalada ya kumbukumbu yote nimeshaya tupa kule! ...2012 naanza kitabu chenye kurasa mpya...

...sina haja tena ya kujibebesha machungu ya 2011, niliyotoka nayo 2010 niliyochanganya na yale ya 2009 niliyoyaanza 2008...

karibu mbege....mie cku hizi cjui ndio uzee, wala sihangaiki na mtoto wa m2, cjui kupiga cm upo wapi, cjui unaridi saa ngapi cjui nini na nini, naona inamchoma fulani mana naambiwa nimebadilika kuna namna c bure, nikasema kumbe wkt ule nikikimbizane nae alikuwa ananiona kiazi eee, hayo maamuzi yamenisaidia sana!
 

...lol, Lizzy...kwenye ndoa Kuonewa, kudhalilishwa, nk...maneno haya yape jina na maana ya mtihani tu; utavuka kama yalivyo majaribu yasokosa mlango wa kutokea - challenges.

...ukishaanza kulalama "...naonewa mie, nakandamizwa miye, nanyimwa haki zangu mie.!"...hakika ujue haujitendei haki, na unamuudhi hata Mungu aliyekujaalia mume huyo...lol


-reminder;
2. Heshima na uvumilivu…Bila kuyaonesha haya kwa vitendo lazima ndoa itayumba
 
Niseme tu ukweli tukishafikia hatua ya mimi kumfulia boxer alizochafua huko kwa nyumba ndogo huo ndio mwisho wa safari yetu pamoja. Ila wanaoweza wao waendelee tu. . . .


hahahaha haya bwana...huna shangazi/mama/dada wakubwa wewe? hao ndio mabingwa wa vumilia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…