Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Ni pande zote Lizzy,
Kila mtu kwenye ndoa anakutana na changamoto zake ingawa zinaweza kutofautiana uzito!
Mfano, wakati Nyamayo anaongelea mtu anayeshinda nje akihangaika kutafuta tafuta kama jogoo la kienyeji, pia wapo wanaume ambao wanaishi kwa kustarve...Yaani kupewa dinner mpaka mama aamue au sijui apewe ruhusa na mtu mwingine!!
Ndio maana ukifuatilia, vilio vinavyoletwa hapa kwenye ukumbi wa MMU vinatokea pande zote (Me and Ke)!!
kwa stress za kisasa za ndoa, dinner ni k2 kidunchu sana kwenye ndoa cku hizi kwanza wanawake wengi ndio tunakulaga makombo,ukija umejichokea na kazi/mihangaiko/kimada/beer...bac unakula bila kunawa na unajishibia/una pretend kumliwaza nyamayao huku ukijua ulikotoka umejishibia....cwatishi wadogo zangu but ndoa ni tamu dana na chungu sana na uvumilivu 150%...