GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,225
wewe kwenu mvua ikinyesha hamtupi uchafu nje? kwenye meli ya starehe Cruz ships amabazo zinasafiri masafa marefu sana baharini je huko hawanaga uchafu na wanatupa wapi. hiyo mvua siku arobaini ilikuwa inazua nini kutupa uchafu huko kwenye maji?Kwa hiyo toa ushuhuda kwa mtoa mada namna uchafu wa wanyama uliopanda nao ktk Noah ulivyosafishwa au kutoka ikiwa mvua ilinyesha siku 40 bila kukatika.