Mwaka mzima ndani ya safina ya Nuhu, usafi ulifanyikaje?

Mwaka mzima ndani ya safina ya Nuhu, usafi ulifanyikaje?

Ungekuwa mhandisi usingeumiza kichwa. Nuhu hakushushiwa safina, bali kabla ya mvua alipata Muda wa kutengeneza safina hiyo. Maana yake aliweka allowance zote. Mahali pa kulala, kula, usafi na hata kupumzika.

Hii tunaita design and build [emoji3][emoji3]
 
nguruwe ni zao la uchafu achilia mbali sehemu ya kuhifadhia uchafu...mla nguruwe hana tofauti na mla nya

Badala ya kujadili hoja unaleta viroja... huyu mnyama muache kama alivyo
 
sasa wewe huoni kuwa ni uongo
kwa akili yako,;
mtu anaweza kutembea juu ya maji?
inawezekana mtu kufufuliwa?
mtu aliyekatika mkono au mguu anaweza kuombewa vikaota?(achana na usanii wa magonjwa unayodanganywa eti wamepona kwa magonjwa yasiyoonekana)
Wewe tayari umeshaona ni uongo!
Sasa vipi? Unajaribu kushawishi na wengine waone kama unavyoona au vipi!!
Anyway kwa kukusaidia tu tafuta kwanza maana ya IMANI katika kamusi kisha tafuta maana ya imani katika biblia, halafu uje na hoja ya IMANI Katika msingi wa IMANI.
Katika imani sayansi hupigwa upofu hivyo haioni kitu KWAKUWA HAIAMINI ndio maana Neno likaweka wazi kuwa MAMBO YA ROHO YAJULIKANA KWA WA ROHONI na mambo ya imani yajulikana kwa wenye imani.
 
Kuna Kitu nimegundua kuwa jukwaa la Jamii Intelligence kuna watu wameshindwa kulitambua kabisa maana uwezo wao binafsi tu wakufikiri unajionyesha dhahiri kuwa hili jukwaa wanaliparamia tu
 
Sasa kama geti lilifungwa na Mungu mwenyewe,unadhani kingeshindikana nini tena? Mvua ilinyesha 40 days na maji yalikauka miezi sita baadaye. Mwisho si utatuuliza kuni walikozipata.![emoji23]
Kumbe waliwasha na moto mle ndani, huo moshi uliwaacha salama kweli? Ukizingatia moshi usambaa sana mvua inapokuwa ikinyesha.
 
Duuuuuuu hiii nayo kali ngoja watashi wa mambo waje pengine tunaweza pata jambo la kufumbua hili fumbo la imani unaloladhimisha tulijibu kutumia sayansi ambayo inapingana na uwepo wa mungu na haya matendo yaliyotendeka miaka tillion iliyopita.
 
Kama safina yenyewe, ilijengwa kwa vipimo vya kisayansi, kwanini jibu la usafi na mambo mengine yenye utata mwingi, yajibiwe kiimani? Maana ingekuwa imetokea kiumujiza bila Nuhu kuvuja jasho katika kuitengeneza siku hadi siku, nisinge hoji! Lakini kwa sababu ili jengwa kwa nyundo, msumeno, mbao, lami, na misumali, hapo sayansi lazima itupe majibu sahihi, juu ya habari kamili!
 
Mwisho wa siku utauliza funza kaingiaje kwenye kokwa la embe
Kisayansi inajulikana mdudu anavyoingia kwenye kokwa la embe, na mtu akiuliza anapata jibu kamili. Je, na usafi kwenye safina ya Nuhu, ulifanyika kama mdudu anavyoingia kwenye kokwa? Naomba, ufafanuzi, tafadhali!
 
Sasa si umuulize Nuhu mkuu, sisi tulikuwepo? Au ulitaka kila kitu kiandikwe maana mwisho wa siku utauliza walikuwa wanalalaje
 
Sasa si umuulize Nuhu mkuu, sisi tulikuwepo? Au ulitaka kila kitu kiandikwe maana mwisho wa siku utauliza walikuwa wanalalaje
Ukijua usafi, ulifanyikaje! Mambo kama walionaje, walikulaje, walilalaje na mengine yenye utata, yanakuwa yamepata majibu. Kumbuka kwamba kila swali lina jibu lake sahihi lakini siyo kila jibu ni sahihi kwa swali husika.
 
Yani Nguruwe wawili wale vinyesi vya mamia ya wanyama!!!!?
 
Yani Nguruwe wawili wale vinyesi vya mamia ya wanyama!!!!?
Hapo ndo ujue kwanini uwa hawataki mtu mdadasi akae kati yao! Wanataka uitikie amina tu, kwa kila linenwalo!
 
Kama safina yenyewe, ilijengwa kwa vipimo vya kisayansi, kwanini jibu la usafi na mambo mengine yenye utata mwingi, yajibiwe kiimani? Maana ingekuwa imetokea kiumujiza bila Nuhu kuvuja jasho katika kuitengeneza siku hadi siku, nisinge hoji! Lakini kwa sababu ili jengwa kwa nyundo, msumeno, mbao, lami, na misumali, hapo sayansi lazima itupe majibu sahihi, juu ya habari kamili!
Sawa ila kuna kila sababu ya kumuuliza mungu ambae ndie alietoa maagizo na ramani ya safina na kama si hivyo basi hatutapata majibu kabsa ndugu.
 
Back
Top Bottom