Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Najaribu tu kuimagine..Kumbe walikuwa na teknolojia kubwa kiasi hicho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu tu kuimagine..Kumbe walikuwa na teknolojia kubwa kiasi hicho!
Mambo mengine huwa yanatakiwa kudadavuliwa kwa mantiki, mkuu, ni vema, ukiweka hizo, common sense mezani nipate kujifunza. Kwa kuwa aulizaye anatakujua. Maana, kuuliza siyo ujinga.Salute boss
Vitu vingine mkuu sio lazima utumie biblia kupata majibu. unatumia tu ur own Common sense unapata jibu. Hebu jaribu kutumia mwenyewe Akili yako tuone utapata jibu gani
Asante, mkuu kwa kuonyesha njia katika kufikiri.kabla ya mvua meli ilipotengezwa baadhi ya wanajamii waliinajisi/haja kubwa ndani yake hali iliyopelekea mafisadi hao wapatwe na ugonjwa wa upele/vipele mwili mzima. mmoja kati yao akachukua kile knyesi na kujipaka hatimaye akapona kabisa na kuwasimulia wenzake ambao nao walifanya hivyo. ilifikia hatua wanapiga hadi deki ili wapate maji ya kujipaka. hii inaonesha kuwa M/Mungu ana nji nyingi za kuhakikisha jambo lake linatimia, kabla ya usafi jiulize walikula nini na walipika wapi. sina uhakika na usafi ulifanyikaje lakini ni issue ndogo kwa M/Mungu
Exactly..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa muktadha huo, lazima na jiko la kupikia lilikuwa la gesi.
Umesahau kwamba hiyo safina ilifunikwa lami ndani na nje ili maji yasiweze kupenya?Kama Noah alikuwa smart enough kutengeneza Safina , basi alikuwa smart pia kutengeneza njia ya kudondosha uchafu wa wanyama kutoka kwenye kila chumba kwenda chini.
Watu wa zamani walikuwa wako smart kuliko watu wa sasa ... embu niambie professor gani anaweza kutengeneza pyramid!!! Watu wanadhania kuwa na technology ndio kunafanya watu wa sasa wawe smart kuliko wa zamani. Watu wa zamani walifanya mambo makubwa bila umeme.
Pili,kama Mungu aliwafanya wanyama wawili wawili wa march kwenda kwenye safina , anauwezo pia wa kuwafanya wanyama wakibanwa na haja waende pembeni ya Safina na wageukie baharini kutoa haja.
Lkn mi nadhani waliweka bomba la uchafu linaenda kwa juu, yaani mtu akijisaidia akaflush uchafu unapita kwenye hilo bomba unaenda kumwagwa kwa nje bomba linapotokea.
Yes so lazima kilikuwa na namnaUnajua zamani kulikuwa na watalaam sana
Umesahau kwamba hiyo safina ilifunikwa lami ndani na nje ili maji yasiweze kupenya?
Hapo ndipo penye utata, kitu gani hicho hadi mwandishi ashindwe kukiandika, ama wanakiri nakala halisi waliruka sura?Hilo nafahamu mkuu ilikuwa ni mfano kuelezea uweza wa Mungu.
Ukisoma Mwanzo 6:20 - Katika vyote virukavyo kwa jinsi yake, na kila namna ya mnyama kwa jinsi yake, kila kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake, wawili wa kila namna watakuja kwako ili uwahifadhi.
Wanyama walienda kwa Nuhu ili awaifadhi, ni wazi Mungu alifanya kitu ; hata kwa sala la uchafu wa wanyama lazima alifanya kitu
Mkuu, suala la IMANI ni la ajabu sana, wakati wewe huamini wapo wanao amini.sasa wewe huoni kuwa ni uongo
kwa akili yako,;
mtu anaweza kutembea juu ya maji?
inawezekana mtu kufufuliwa?
mtu aliyekatika mkono au mguu anaweza kuombewa vikaota?(achana na usanii wa magonjwa unayodanganywa eti wamepona kwa magonjwa yasiyoonekana)