wewe kwenu mvua ikinyesha hamtupi uchafu nje? kwenye meli ya starehe Cruz ships amabazo zinasafiri masafa marefu sana baharini je huko hawanaga uchafu na wanatupa wapi. hiyo mvua siku arobaini ilikuwa inazua nini kutupa uchafu huko kwenye maji?Kwa hiyo toa ushuhuda kwa mtoa mada namna uchafu wa wanyama uliopanda nao ktk Noah ulivyosafishwa au kutoka ikiwa mvua ilinyesha siku 40 bila kukatika.
Wanafungwa choo wakiwa wanakula au hawali? Na ushuzi nao ukifungwa?Ayo mambo yalifanyika kwa uweza wa nguvu za Mungu,kwaiyo yeye mwenyewe anajua waliishije ndani ya iyo safina.Kwasababu kama aliweza kuwaumba unadhani alishindwa kuwafunga choo mwaka mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
duniani kuna different species of animal around 9 millionwewe kwenu mvua ikinyesha hamtupi uchafu nje? kwenye meli ya starehe Cruz ships amabazo zinasafiri masafa marefu sana baharini je huko hawanaga uchafu na wanatupa wapi. hiyo mvua siku arobaini ilikuwa inazua nini kutupa uchafu huko kwenye maji?
kulikuwa na dirisha ambalo lilitumika kumtoa kunguru akaangalie kama maji yamekauka. Kunguru alipotoka akaona mizoga hakurudi kwenye safina akatumwa njiwa akarudi amebeba jani ishara ya kukauka maji na majani kuota. Uchafu ulikuwa unatupwa kupitia dirisha hilihahaaa "" kwamba alikuwa akisha kula huo uchafu hanyi ""au !? na akisha kunya anakula tena kinyesi chake "" kwa hiyo mzunguko wa maisha ya nguruwe ulikuwa hivyo hivyo "" aisee Hawa Jamaa waongo sana
Which means it is a cooked story, right?duniani kuna different species of animal around 9 million
ukizidisha mara mbili(jike na dume) unapata wanyama 18 milioni
safina ya nuhu ni kama mita 80 kwa urefu na upana haifiki mita 50
niambie wanyama milioni 18 wanaeneaje kwenye the so called safinaππππ
black people should stop making fun of yourselves
hivi vichekesho waachie wazungu wenyewe wadili navyo,havikuhusu
Kwa hiyo kila mnyama alifungiwa kifaa maalum ambacho kilikusanya kinyesi na mikojo ili uchafu huo utupwe nje kupitia dirishani, siyo?kulikuwa na dirisha ambalo lilitumika kumtoa kunguru akaangalie kama maji yamekauka. Kunguru alipotoka akaona mizoga hakurudi kwenye safina akatumwa njiwa akarudi amebeba jani ishara ya kukauka maji na majani kuota. Uchafu ulikuwa unatupwa kupitia dirisha hili
bado ni myth "" sidhani kama population ya wanyama iliyopo humo "" ili ruhusu watu kuweza kukusanya uchafu ipaswavyo " ......idadi ya wanyama waliokuwepo duniani unaifahamu vyema ndugu "" ""?kulikuwa na dirisha ambalo lilitumika kumtoa kunguru akaangalie kama maji yamekauka. Kunguru alipotoka akaona mizoga hakurudi kwenye safina akatumwa njiwa akarudi amebeba jani ishara ya kukauka maji na majani kuota. Uchafu ulikuwa unatupwa kupitia dirisha hili
ulishajiuliza walikuwa wana kula nini ""?? kwa muda huo wote wa mwaka mzima "?kulikuwa na dirisha ambalo lilitumika kumtoa kunguru akaangalie kama maji yamekauka. Kunguru alipotoka akaona mizoga hakurudi kwenye safina akatumwa njiwa akarudi amebeba jani ishara ya kukauka maji na majani kuota. Uchafu ulikuwa unatupwa kupitia dirisha hili
Hivi safina ilikuwa meli?kama safina ilikua inaelea na haikuzama usafi ulifanyika kirahisi wala si swali hilo ni kama kwenye meli zetu za leo vile taka zote baharini, labda ungeuliza walikua na chakula cha aina gani kuwatosha waka mzima, kuna wanyama wanaokula nyama tu walikua na nyama kiasi gani, wanaokula nyasi tu je walikua na nyasi kiasi gani za kuwatosha mwaka mzima, walao matunda nk.
Kulikuwa na milango kwa juu.Kufunikwa lami ndani na nje unakueleweje? Kama safina ili kuwa kama meli, captain alikuwa nani, na ilikuwa ikisafiri kuelekea wapi?
nuhu na wanawe walifanya kazi zoteKwa hiyo kila mnyama alifungiwa kifaa maalum ambacho kilikusanya kinyesi na mikojo ili uchafu huo utupwe nje kupitia dirishani, siyo?
kaka ayo majina tu kulingana na lugha za maeneo na nyakati husika, lakini mfano niliokupa sawa na boti, jahazi mitumbwi, ata ao watu wangekua wanaelea na maboya bado ungeuliza walikua wanajisaidia wapi mwaka mzima badala ya kuuliza waliweza kuishi vp kwa chakula na mabadiliko ya hali ya hewa kama pepo mawimbi tsunami nk maana ukumbuke ayo maji yalikua zaidi ya bahari kwakua yalifunika uso wote wa dunia, milima yote mikubwa ilifunikwa ikiwa na maana dunia nzima maji matupu.[/QUOTE][QUOTEa="Manton, post: 27240420, member: 75470"]Hivi safina ilikuwa meli?
not well cookedWhich means it is a cooked story, right?
karudie kusoma nilichokiandikaNguruwe nae ni mtu?
Nakubaliana na hili swali lako Liko na mantiki sana, sio kuuliza uchafu ulienda wapi. Kutokana na elimu ya evolution wanyama wa kipindi hicho walikuwa ni wakubwa sana na wenye kilo za kutosha kuliko wa kipindi hiki, pia kuna aina nyingi za wanyama walio kuwepo nyakati hizo ila sasa washapotea kwaajili ya mazingira, kwa hiyo idadi inaweza kuwa kubwa sana. WALITOSHAJE KWENYE HAKO KABOX SAFINA?duniani kuna different species of animal around 9 million
ukizidisha mara mbili(jike na dume) unapata wanyama 18 milioni
safina ya nuhu ni kama mita 80 kwa urefu na upana haifiki mita 50
niambie wanyama milioni 18 wanaeneaje kwenye the so called safinaππππ
black people should stop making fun of yourselves
hivi vichekesho waachie wazungu wenyewe wadili navyo,havikuhusu