Mwaka sasa unaisha lakini Serikali haijamalizia hata mradi mkubwa mmoja

Mbele ya akina miguru pesa za tozo zinapitishwa kushoto. Pamoja na makusanyo mengi utaambiwa pesa hamna. Mama kaingizwa chaka
 
HEP wote tunajua hata waziri mwenyewe hataki ukamilike so hapo tayari ni magumashi na visingizio ndo vimetawala!
Nani kakwambia Waziri hataki ukamilike? Hizo nadharia zako na matango Pori hayo jilishe mwenyewe
 
Kila kiongozi anayeingi madarakani anavipaumbele vyake . Mh. Samia kipaumbele chake ujenzi wa madarasa na kurudisha shule watoto mliowapa mimba na kuwa kimbia. Kwenye hayo mambo mawili yanaenda kwa kasi ya juu zaidi haijawahi kutokea hongera kwake
 
Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo!
Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo.

Ujenziwa daraja mahususi la mto wami ukipita maeneo hayo unaona kabisa mwenendo wake wa ujenzi unasuasua sana.

Ujenzi wa barabara za mitaa hususani Dar kama umesimama kidogo mwendo kasi ya Mbagala wanajitahidi kujikongoja na pia ujenzi wa fly over za chang'ombe na uhasibu uko na kasi ndogo sana.

Ujenzi wa daraja la Busisi nao uko chini na majuzi tumeona watu wakihujumu pia tumemuona Mbarawa akiwa huko ila hali pia si shwari, Ujenzi wa meli ya MV Mwanza nao polepole sana.

Ujenzi wa terminal airport ya mwanza umaliziaji haufanyiki!
na mikoa mingine pia kasi ya ujenzi sio nzuri.

Hata barabara ya kuunganisha tabora kigoma naona mkandarasi anaruruka tu vipande kadhaa havijakamilika!

Upande wa Kakonko kuja kasulu napo changamoto Nyanza Roads Construction huko chini sana.

Lakini yote hayo sio tatizo ila serkali bado inatuamimisha kuwa inakusanya kodi zaidi ya kipindi cha awamu ya tano ikiwemo na tozo katika miamala!

Bila kuweoo kwa fedha za UVICO ambazo zinaifanya serkali ionekane kuna kitu inafanya kwa ujenzi wa madarasa na zahanati hakuna kitu kingine cha maana serkali ingeonekana imefanya!

Natoa rai kwa Serkali ijitahidi sana kusimamia miradi hii mahususi kwa taifa letu ikamilike!
Huo ni ukweli halisi ila yote hukumu yake itakuwa 2025
 
Basi kama shida ni pesa.aliyekuwa waziri wa fedha alejeshwe kwenye nafasi take.
 
Ukianza miradi bila mipango haya ndiyo matokeo uyatarajie. Kwenye project management kuna vitu critical lazima uviangalie. Concepts za Ghant Chart, resource scheduling, critical path analysis, dummy activities zote zinaihusu miradi iliyoanzishwa hovyo.

Magufuli alianzisha miradi mikubwa kama 3 akiwa hajui atapata wapi fefha; yaani SGR, Stiglers gorge dam na kuhamia Dodoma. Impact ya miradi hii ilikuwa ni kukopa sana kwenye financial institutions kiasi kwamba kwa miaka 5 alikopa kuliko miaka 10 ya JK.

Pili ku deny huduma za jamii kama mishahara ya wafanyakazi, ajira mpya na kunyang'anya fedha za mfuko wa korosho, kupunguza fedha za HESLB.

Mbaya kuliko ni kuchukua fedha za DANIDA zilizokuwa CRDB na kuunda TRA Task force iliyokuwa inanyang'anya fedha za wafanyabiashara.

Isitoshe kusema Magufuli alikuwa shetani kwenye umbo la binadamu. Ni kweli alijenga barabara ya Ubungo- Kibaha, lakini hakuwafidia wananchi aliowabomolea Ili tu apate fedha ya kukamilisha ujenzi.

Yote aliyofanya hayakumfurahisha Mungu kwa vile yalijaa ulaghai, dhuluma, wizi na ufedhuli ndiyo maana Mungu akamuondoa. Magufuli hakustahili kuwa Rais kwenye nchi ya wastaarabu kama Tanzania. Let him rot in hell
 
Ukianza miradi bila mipango haya ndiyo matokeo uyatatajie. Kwenye project management kuna vitu critical lazima uviangalie. Concepts za Ghant Chart, resource scheduling, critical path analysis, dummy activities zote zinaihusu miradi iliyoanzishwa hovyo.

Magufuli alianzisha miradi mikubwa kama 3 akiwa hajui atapata wapi fefha; yaani SGR, Stiglers gorge dam na kuhamia Dodoma. Impact ya miradi hii ilikuwa ni kukopa sana kwenye financial institutions kiasi kwamba kwa miaka 5 alikopa kuliko miaka 10 ya JK.

Pili ku deny huduma za jamii kama mishahara ya wafanyakazi, ajira mpya na kunyang'anya fedha za korosho, kupunguza fedha za HESLB.

Mbaya kuliko ni kuchukua fedha za DANIDA zilizokuwa CRDB na kuunda TRA Task force iliyokuwa inanyang'anya fedha za wafanyabiashara.

Isitoshe kusema Magufuli alikuwa shetani kwenye umbo la binadamu. Ni kweli alijenga barabara ya Ubungo- Kibaha, lakini hakuwafidia wananchi aliowabomolea Ili tu apate fedha ya kulamilisha ujenzi.

Yote aliyofanya hayakumfurahisha Mungu kwa vile yalijaa ulaghai, dhuluma, wizi na ufeshuli ndiyo maana Mungu akamuondoa. Magufuli hakustahili kuwa Rais kwenye nchi ya wastaarabu kama Tanzania. Let him rot in hell
Mwanzoni ulikuwa na point unapozungumzia fedha za fidia usimsingizi Magufuli kwa kuwa walishalipwa wakatapeliana wao kwa wao sasa hapo tunataka serkali ibebe ujinga wa kutapeliana kama wanahaki serkali mpya hii hapa wakashitaki tofauti na hapo ni umbea!
 
Kila kiongozi anayeingi madarakani anavipaumbele vyake . Mh. Samia kipaumbele chake ujenzi wa madarasa na kurudisha shule watoto mliowapa mimba na kuwa kimbia. Kwenye hayo mambo mawili yanaenda kwa kasi ya juu zaidi haijawahi kutokea hongera kwake
Kwa hela za msaada kwa hiyo bila corona asinge fanya kitu!
 
Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo!
Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo.

Ujenziwa daraja mahususi la mto wami ukipita maeneo hayo unaona kabisa mwenendo wake wa ujenzi unasuasua sana.

Ujenzi wa barabara za mitaa hususani Dar kama umesimama kidogo mwendo kasi ya Mbagala wanajitahidi kujikongoja na pia ujenzi wa fly over za chang'ombe na uhasibu uko na kasi ndogo sana.

Ujenzi wa daraja la Busisi nao uko chini na majuzi tumeona watu wakihujumu pia tumemuona Mbarawa akiwa huko ila hali pia si shwari, Ujenzi wa meli ya MV Mwanza nao polepole sana.

Ujenzi wa terminal airport ya mwanza umaliziaji haufanyiki!
na mikoa mingine pia kasi ya ujenzi sio nzuri.

Hata barabara ya kuunganisha tabora kigoma naona mkandarasi anaruruka tu vipande kadhaa havijakamilika!

Upande wa Kakonko kuja kasulu napo changamoto Nyanza Roads Construction huko chini sana.

Lakini yote hayo sio tatizo ila serkali bado inatuamimisha kuwa inakusanya kodi zaidi ya kipindi cha awamu ya tano ikiwemo na tozo katika miamala!

Bila kuweoo kwa fedha za UVICO ambazo zinaifanya serkali ionekane kuna kitu inafanya kwa ujenzi wa madarasa na zahanati hakuna kitu kingine cha maana serkali ingeonekana imefanya!

Natoa rai kwa Serkali ijitahidi sana kusimamia miradi hii mahususi kwa taifa letu ikamilike!

Na ili aende vizuri mama ilibidi amalize miradi yote ya magu! Nina Uwakika hata yeye angekuwa na amani.... lakini now atakuwa na stress kwasababu katika pesa zote alizokopa Hakuna hata senti kipande imeenda kwenye miradi mikubwa aliyoacha magufuli!!” Na jana nimeona katibu mkuu kiongozi akiwa anakaguwa reli ya sgr na anaambiwa wataanza majarabio mwezi march sio December tena.....!!!!! Naona tayari hujuma inekamilika sizani kama hii reli itatoboa, Mungu ibariki Tanzania” wanaotuongoza sio tulio wachagua
 
Kwa hela za msaada kwa hiyo bila corona asinge fanya kitu!
Ushasau hela ya tozo inaendelea kuinua Taifa . Awamu ya tano ilikuwa inategemea kunyang'anya hela toka kwenye akaunti za watu binafsi
 
Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo!
Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo.

Ujenziwa daraja mahususi la mto wami ukipita maeneo hayo unaona kabisa mwenendo wake wa ujenzi unasuasua sana.

Ujenzi wa barabara za mitaa hususani Dar kama umesimama kidogo mwendo kasi ya Mbagala wanajitahidi kujikongoja na pia ujenzi wa fly over za chang'ombe na uhasibu uko na kasi ndogo sana.

Ujenzi wa daraja la Busisi nao uko chini na majuzi tumeona watu wakihujumu pia tumemuona Mbarawa akiwa huko ila hali pia si shwari, Ujenzi wa meli ya MV Mwanza nao polepole sana.

Ujenzi wa terminal airport ya mwanza umaliziaji haufanyiki!
na mikoa mingine pia kasi ya ujenzi sio nzuri.

Hata barabara ya kuunganisha tabora kigoma naona mkandarasi anaruruka tu vipande kadhaa havijakamilika!

Upande wa Kakonko kuja kasulu napo changamoto Nyanza Roads Construction huko chini sana.

Lakini yote hayo sio tatizo ila serkali bado inatuamimisha kuwa inakusanya kodi zaidi ya kipindi cha awamu ya tano ikiwemo na tozo katika miamala!

Bila kuwepo kwa fedha za UVICO ambazo zinaifanya serkali ionekane kuna kitu inafanya kwa ujenzi wa madarasa na zahanati hakuna kitu kingine cha maana serkali ingeonekana imefanya!

Natoa rai kwa Serkali ijitahidi sana kusimamia miradi hii mahususi kwa taifa letu ikamilike!
Kumbe hapa bongo tuna flyover? Ckua nafaham asee 🤔🤔🤔
 
Nani kakwambia pesa hamna? Acha chuki za kishamba wewe
Kama zipo fanyeni maendeleo kama maghufuli,miradi itembee kama magufuli.

Mkiguswa kidogo tu mnaruka. Mnacharuka kama mbogo aliejeruhiwa. Sikia miguru pigeni sana hizo hela zamu hii. Lakini hujui yajayo,huenda yakakupata ya masamaki
 
Vision ya kiongozi wa sasa ni tofauti na aliyetwaliwa na Israel.
Hangaya ni mwanaharakati anapambana na 50/50,wahuni shuleni waliopata mimba warudi shule,tuombe Mungu tu asije ruhusu usagaji.
JPM alikuwa mzee wa shughuli.
 
Ukianza miradi bila mipango haya ndiyo matokeo uyatarajie. Kwenye project management kuna vitu critical lazima uviangalie. Concepts za Ghant Chart, resource scheduling, critical path analysis, dummy activities zote zinaihusu miradi iliyoanzishwa hovyo.

Magufuli alianzisha miradi mikubwa kama 3 akiwa hajui atapata wapi fefha; yaani SGR, Stiglers gorge dam na kuhamia Dodoma. Impact ya miradi hii ilikuwa ni kukopa sana kwenye financial institutions kiasi kwamba kwa miaka 5 alikopa kuliko miaka 10 ya JK.

Pili ku deny huduma za jamii kama mishahara ya wafanyakazi, ajira mpya na kunyang'anya fedha za mfuko wa korosho, kupunguza fedha za HESLB.

Mbaya kuliko ni kuchukua fedha za DANIDA zilizokuwa CRDB na kuunda TRA Task force iliyokuwa inanyang'anya fedha za wafanyabiashara.

Isitoshe kusema Magufuli alikuwa shetani kwenye umbo la binadamu. Ni kweli alijenga barabara ya Ubungo- Kibaha, lakini hakuwafidia wananchi aliowabomolea Ili tu apate fedha ya kukamilisha ujenzi.

Yote aliyofanya hayakumfurahisha Mungu kwa vile yalijaa ulaghai, dhuluma, wizi na ufedhuli ndiyo maana Mungu akamuondoa. Magufuli hakustahili kuwa Rais kwenye nchi ya wastaarabu kama Tanzania. Let him rot in hell
hakuna nchi iliyoendelea kwa propaganda na viingereza vya namna hii, tunataka kazi tu tena za kuonekana
 
Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo!
Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo.

Ujenziwa daraja mahususi la mto wami ukipita maeneo hayo unaona kabisa mwenendo wake wa ujenzi unasuasua sana.

Ujenzi wa barabara za mitaa hususani Dar kama umesimama kidogo mwendo kasi ya Mbagala wanajitahidi kujikongoja na pia ujenzi wa fly over za chang'ombe na uhasibu uko na kasi ndogo sana.

Ujenzi wa daraja la Busisi nao uko chini na majuzi tumeona watu wakihujumu pia tumemuona Mbarawa akiwa huko ila hali pia si shwari, Ujenzi wa meli ya MV Mwanza nao polepole sana.

Ujenzi wa terminal airport ya mwanza umaliziaji haufanyiki!
na mikoa mingine pia kasi ya ujenzi sio nzuri.

Hata barabara ya kuunganisha tabora kigoma naona mkandarasi anaruruka tu vipande kadhaa havijakamilika!

Upande wa Kakonko kuja kasulu napo changamoto Nyanza Roads Construction huko chini sana.

Lakini yote hayo sio tatizo ila serkali bado inatuamimisha kuwa inakusanya kodi zaidi ya kipindi cha awamu ya tano ikiwemo na tozo katika miamala!

Bila kuwepo kwa fedha za UVICO ambazo zinaifanya serkali ionekane kuna kitu inafanya kwa ujenzi wa madarasa na zahanati hakuna kitu kingine cha maana serkali ingeonekana imefanya!

Natoa rai kwa Serkali ijitahidi sana kusimamia miradi hii mahususi kwa taifa letu ikamilike!
Tutajie mdogo ulioisha? umeona kuna hata ajir amoja imetoa?
 
Back
Top Bottom