Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

Dah wanangu mnaojua kuwapa wanawake hela mnateseka πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ, And for these kind proofs nazoziona humu haki ya nani stokuja ku-settle kwenye relationship na hizo pisi type ya ombaomba
 
Kitaa Ndizo Tunaishi Nazo Mkuu.
Dah wanangu mnaojua kuwapa wanawake hela mnateseka [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119], And for these kind proofs nazoziona humu haki ya nani stokuja ku-settle kwenye relationship na hizo pisi type ya ombaomba
 
Unabaki kusema nashukuru, kwani ulikuwa unabarikiwa?

Kutwa kujidai kidume humu jukwaani, kutunishiana misuli na wanajukwaa. Ila huko nje umelegea ka mlenda pori.

Wengi wao ndio walivyo keyboard warrior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…