Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

Ndio ujinga wa kufanya sex ni mtaji. Kwani huwa hufurahii ? Wanawake wa kibongo tubadilike, tusitumia miili yetu kujipatia kipato. Mtu unakuwa kwenye mahusiano sio kwa mutual benefits bali kwa kujinufaisha mwenyewe. Mwanamke una mshahara lakini kutwa kuomba sijui hela ya kusuka n.k. wanawake tukiwezeshwa basi mchango wetu uonekane kwenye jamii la sivyo kutakuwa hamna maana yoyote kuwezeshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…