Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Nashukuru kwa kunikumbuka. Una account ya Bank ambayo naweza tuma pesa nikiwa huku Argentina? Angalau tu Usd kadhaa ukaenjoy nawe sikukuu.
Dah mkuu nashukuru kwa moyo wako wa kujitolea niseme asante utanitumia siku nyingine😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…