Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Utawamaliza wote? Chagua mmoja tu!
 
Asante sana To yeye tupo pamoja.
 
Nimekuja bibie winlicious [emoji8]
Mkuu,unaonekana unapendwa Sana na warembo hapa jukwaani. Sijui Siri ya mafanikio yako ni nini.

Kila uzi ya aina hii lazima utrend. Anyways,nikutakie heri ya Christmas na mwaka mpya mkuu. Mwakani twenzetu kidimbwi tukasafishe macho na watoto wakali.


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sana Satoh Hirosh
Sina la kujivunia kuhusu hili.
Nimejikuta tu kuwa mimi ni rafiki mkubwa sana wa hii jinsia tokea utotoni.

Ninatengeneza marafiki kila niendako.
Katika maisha hilisi ndivyo ilivyo.
Kuna watu huwa wanahisi mimi ni mpenda chini lkn 97% si kweli ni pure urafiki usio wa kimahusiano.

Nikiwa hata church hukimbiliwa na vitoto vya kike wasiopungua 20 to 30 kila mmoja anatamani kunishika mkono nami nawapenda sana watoto wa kike kuanzia wadogo hadi wamama wazee.

Nimejaa huruma kwao tu bila sababu mkuu wangu.

Hapa jf kuna wasichana kadhaa waliwahi kunitusi pm😂😂😂 kuwa why niko na ke wengi...bila kujua yanaishiaga hapa tu jukwaani.

Wengi wameanza kunielewa kuwa ndivyo nilivyo na hakuna kilichojificha.
Samahani kwa maelezo marefu

Hii hali iliwahi kunikera mara nyingi lkn sasa naiona kawaida mkuu.

Kidimbwi mmh huwa sio mpenzi.
Nitakupeleka UPEPO GARDEN kwa gharama zangu mkuu
 
Huo
Muda wa kuchunguza ID zawatu unatoa wapi, great thinker tunasoma tu hatuangalii Nani kapost
 
Nakupenda pia mdogo angu mkwe🥰
Me na kaka angu tunakupenda to the moon n back😘

Mbona la mabati🤣🤣
Tena ngoja nimwambie kaka etu atupeleke mtoko sijui wapi, em chagua kwanza

Sema upunguze ukorofi, kaka hapendi anahitaji utulivu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…