Mwaka unakaribia kuisha unamwambia nani nini?

Shetani watakuwa ni Waliokuzaa na si Mimi.
Waliowangapi mxiuu unasura mbaya kama mchawi na ndio maana kila mtu anakusema na bado na hicho kopara chako utasema baba ubaya,umekonda kama fito za guest za kijijini ,unamdomo mkubwa kama mamba,meno machafu kama kinyesi cha mbwa ,hauogagi unapiga pasport kama upo mbeya, hubadili boxer unakuwa unanuka mchele mchele au ubeberu beberu mtu akiwa nawe karibu anavaa barakoa ,
 
Ankoli muoe huyu akuheshimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanichongea tena ๐Ÿ™Š๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
Achana nae huyo taira. Ni muokota makopo wa kawe. Na degree yake uchwara.

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ