Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakuwa anakuota usingizini unampa miuno ya kingoni
Haswaaaa uduguuu maana alivyo kaziaa, km kwelii vileee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado sana hata akodi kikosi cha mizinga,
Sisi tunawakalisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikosi wenyewe walihanya kwa mnako. Gaidi la rap aliwatimbia maskani yao pale kino, kilichafuka sana hawatakuja kumsahau. Zilipigwa panga hatari
 
Kuna ndugu yang mmoja nilimuuliza, akasema aliwahi kutumia jf ila kwa sasa kaipotezea
 
99% Intellectuals wanaokuambia hawautumii amini kuwa ndiyo Wadau Wakubwa na tunao hapa 24/7 halafu kama kuna Mtandao ambao ndiyo Chanzo Kikuu cha Media zote za Tanzania kwa Taarifa zao na muendelezo wake ni huu wa JamiiForums.

Na mwisho namalizia kwa Kukuambia utasoma Vyuo Vikuu vyote duniani ili Uelimike ila kama hujapitia na hujasoma hapa JamiiForums University ambako hata Zanaki and Makuwa Genius GENTAMIYCINE nipo jua bado hujaelimika na bado huna Maarifa.

Hakuna Mtandao ulionijenga vyema Kiakili, Kimaarifa na kunipa Utajiri mkubwa wa Kujenga Hoja mbele za Watu na Kukubalika hadi Kuaminika huku nikipata Taarifa za uhakika kama huu wa JamiiForums.

Mwenyezi Mungu amlinde, ambariki zaidi JamiiForums Founder Maxence Melo na Watendaji wote wa JamiiForums kwa kuwa na huu Mtandao ambao siishii tu Kuuthamini bali ninaupenda hakuna mfano.

Long live JamiiForums.
 
Mimi Nina kaka yangu umu ila sijui anatumia jin gani unakuta nishawai na kumkamia juu😅👐
 
Biashara yangu ya home decor imenikutanisha na wadau wengi humu✊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…