Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Zamani ilikuwa sifa kuwemo JF. Only ma intelectuals walikuwemo humu, hayta mijadala ilikuwa ya kiheshima, watu wanalumbana kwa hoja tu.

Toka vimburumatare kuwachiwa kusema sema hovyo, pamekuwa ni kama kijiwe cha wahuni tu. Woie sisi tumebadilish ID zetu za mwanzo. Mie nimo humu toka 2007 lakini kwa ID nyingine.

Na hii ntaipotezea karibuni. Nasubiri DP World waanze kazi rasmi tu.
 
Kwahiyo Kalapina alichezea?!!
Nakumbuka walimnyoaga Salama kisa alikandia ngoma yao mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pina alikimbia akawaacha wenzake aliona panga zinalia tu, zilipigwa hatari sana. Lord eyes ni zaidi ya gaidi, yupo fit kuliko kawaida

Toka hiyo 2007 hadi leo hawajakanyaga Arusha, sijui lini wataenda maana bado wanahisi beef inaendelea.
 
Zamani ilikuwa sifa kuwemo JF. Only ma intelectuals walikuwemo humu, hayta mijadala ilikuwa ya kiheshima, watu wanalumbana kwa hoja tu.

Toka vimburumatare kuwachiwa kusema sema hovyo, pamekuwa ni kama kijiwe cha wahuni tu. Woie sisi tumebadilish ID zetu za mwanzo. Mie nimo humu toka 2007 lakini kwa ID nyingine.

Na hii ntaipotezea karibuni.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bibi hujalala khaaaaaaa!!!
 
Zamani ilikuwa sifa kuwemo JF. Only ma intelectuals walikuwemo humu, hayta mijadala ilikuwa ya kiheshima, watu wanalumbana kwa hoja tu.

Toka vimburumatare kuwachiwa kusema sema hovyo, pamekuwa ni kama kijiwe cha wahuni tu. Woie sisi tumebadilish ID zetu za mwanzo. Mie nimo humu toka 2007 lakini kwa ID nyingine.

Na hii ntaipotezea karibuni. Nasubiri DP World waanze kazi rasmi tu.
Wewe ni mmoja wa mtu wa hovyo humu.
 
Pina alikimbia akawaacha wenzake aliona panga zinalia tu, zilipigwa hatari sana. Lord eyes ni zaidi ya gaidi, yupo fit kuliko kawaida

Toka hiyo 2007 hadi leo hawajakanyaga Arusha, sijui lini wataenda maana bado wanahisi beef inaendelea.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee Pina wanavyomkubali afu anapigwa kizembe
 
Pina anaogopa sana watoto wa Arusha, bou nako alikua anaenda kwake kila siku kumtafuta wazichape akawa anamkosa, ikabidi ampigie simu kumwambia yupo wapi waonane wakichafue[emoji1787][emoji1787]

Bou nako peke yake ndio hadi leo bado hajamaliza hii beef[emoji1787][emoji1787], wengine wote hawana tena noma
 
Nishakutana na member zaidi ya watano humu...mara ya mwisho nilikutana na member yupo club kule mitaa ya mikocheni sema nilikuwa haraka na sikukaa sana..tena huyu tulikutana kwenye uzi wa wanywaji tukapeana location kijana mmoja charming sana...bahati mbaya kila nikikutana na members wa jf huwa nabadili Id
 
Pina anaogopa sana watoto wa Arusha, bou nako alikua anaenda kwake kila siku kumtafuta wazichape akawa anamkosa, ikabidi ampigie simu kumwambia yupo wapi waonane wakichafue[emoji1787][emoji1787]

Bou nako peke yake ndio hadi leo bado hajamaliza hii beef[emoji1787][emoji1787], wengine wote hawana tena noma

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakipanga kuzichapa nistue baby nije na mchanga wapute
 
Back
Top Bottom