Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Kwa siku hizi, mtu mwenye heshima zake yeyote atasema huwa naiona tu JF mara moja moja, hawezi kukiri kama ni member mchangiaji mpaka awe na verified ID.

Takriban wote humu tunatumia unverified ID's kuchangia mada kiholela. Zile ID zetu verified au verified member huwezi kukuta anachangia mada uharo au akachangia ushuzi.

Mimi nikimwambia mtu anaenifahamu kuwa mimi ndiye FaizaFoxy wa JF anakataa kabisa kabisa, ni characters tofauti kama mbingu na ardhi.

We are using JF to vent out.
 
kumbe kuna mada uharo😂 we bibi umekuja kuwaje au ushapokea mahari kutoa dubai
 
kumbe kuna mada uharo😂 we bibi umekuja kuwaje au ushapokea mahari kutoa dubai
Watu wa Dubai kuanzia Ijumaa, Jumamosi, Jumapili ilikuwa ingia toka kwangu.

Nilifanya kheri ya kuwakaribisha na kuwachinjia kondoo siku ya Ijumaa, nikawapiga na pilau la Dar la kufunikia kwa kaa juu, sharti kwa makuchambari na mapilipili ya kusagam ya kupika, Matunda organic, fresh ya shamba, pilipili kichaa za kusaga za kufa mtu, kila anaeila lazima atokwe kmasi na chozi.

Waaranu wakapenda sana tena sana, wanasema hii pilau nzuri kuliko ya Indonesia. Ma frsh juice ya malimao nimetupia mbegu za komamanga za kinyeji ndani, pembeni nikawawekea na juisi la mabungo nimelimwagia juisi ya pilipili mbuzi kwa mbali, kupata flavour na muwasho kwa mbaaali. Nikaikoroha kwa sukari guru,nikaichuja vizuri, tupia maji yatangawizi kidogo, ukaju kwa mbali, vihiliki vya kusaga vya ushikaji.

Dah! Mwenyezi Mungu mkubwa, mbona siku ya pili wameziuliza juisi za jana, wamekuja na makondoo yameshapikwa kutoka mahotelini huko, kimekuja kiakigari (hiace van) kizima cha catering wanalipa fadhila, rohoni mwangu nasema nyie Waarabiu hiyo mihela mlionunuwa hivyo vutu si mngenipa mimi.

Mungu si Athumani, ulifikiri walikuwa wanausikia moyo wangu, mmoja akasema twede Dubai tukanzishe biashaara ya juisi na hizi sauce za jana tu. Nikawaambia tatizo nini spices zingine zipo seasonal, wakanambia usijali, twakati wa season tutanunuwa kwa wingi mpaka za season nyingine. Nikawaambia game. Nizubae tena? Hivi nangoja warudi, lwo wameenda selous kutaza wanyama wataka huko siku tatu. Vibosile vinakula bata tu.

Kuondoka bwana wameona haya kunipa mimi mshiko si wakampa kibahasha baba mwenye nyumba. Alivyokuja nachondani, akanambia siamini na sijuwi kina nini, kufunguwa ndanu. Myamwezi mtupu ananukia upya khamsa khams a mbili. Utajaza mwenyewe. Nikamwachia mwenye nyumba kifurushi kimoja cha khamsa, kibindoni kingine cha khamsa.

mzee si ikamtoka "hawa ndiyo wageni wakuwapokea..". NIkamchomekea waoze wajukuu zako, akasema hata leo nawaachsha kusoma, wangoje nini tena, watasoma hukohuko kwa waume zao!

Hao jamani ni indurect za DP World hizo ni wagnya biashara tu wwa Dubai wapo holiday season wakaona waje kutenbelea Tanzania, maana huko kwao, huwa wanfata Mlame wao anafanya nini wapi, basi na wao ndiyo hukohuko.

Nikaona pesa si mchezo jamani.

DP World Hoyee.
 
Kuna mshua mmoja yuko poa sana,kuna siku nilimfuma yuko JF aaahh nikafurahi na kumpongeza na kumwambia kumbe mzee upo humu na wewe,kumbe nyie ndio mnaotupa maarifa na elimu mbalimbali kule.Maana katika maisha ya kawaida mzee yule ni mtu nyeti sana serikalini.

Ila sikumvunjia heshima ya kutaka kujua ID yake humu.
 
Kwa siku hizi, mtu mwenye heshima zake yeyote atasema huwa naiona tu JF mara moja moja, hawezi kukiri kama ni member mchangiaji mpaka awe na verified ID.

Takriban wote humu tunatumia unverified ID's kuchangia mada kiholela. Zile ID zetu verified au verified member huwezi kukuta anachangia mada uharo au akachangia ushuzi.

Mimi nikimwambia mtu anaenifahamu kuwa mimi ndiye FaizaFoxy wa JF anakataa kabisa kabisa, ni characters tofauti kama mbingu na ardhi.

We are using JF to vent out.
Kama na we umecomment basi uzi ufungwe tu
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Nilikutana na dada mmoja wa JF tukapanga tuonane tulivoonana nikakaomba mbususu kakakataa. Nikaachana nako
 
Watumiaji ni wengi
Ila sababu msingi wa JF ni Anonymity inafanya hata apps tufiche na tufiche tukiona mtu anakuangalia
We si unajua humu tunavimba kama mimi mnajuaa nna migari sasa ukinikuta kwenye daladala si utachoma
 
Tangu wafute jukwaa la wakubwa, app nimeitoa napita mara chache Sana kwa kutumika browser!
 
Watu wengi tunaamini jf ndio mtandao wenye faragha zaidi Tanzania. Na Mimi binafsi nimeipenda jf kwa sababu hiyo so kitendo Cha mtu kuniulizia kuhusu kutumia jf naona kama ni mwanzo wa kuanza kuingilia faragha yangu na kunichinguza hivyo sipendi.

Wengi tu washawahi kuniuliza kuhusu kuijua Jf lkn nikakana kuijua Wala kuwahi kuijua(lkn mm haipiti siku bila kuingia Jf).

Kuna mambo tunayafanya huko mitaani ukija kuchangia humu ndani kama mtu anakuihisi au anajua unatumia huu mtandao ni rahisi sana kuunganisha dot na kukujua wazi kbs mpaka na ID Yako, hapo ndo balaa litapoanzia.

Ukileta mada hapa au kuchangia kitu humu unakikuta mtaani, au ukifanya kitu huko mtaani unakikuta humu jukwaani😂
 
Back
Top Bottom