Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Michano? We jamaa, mimi kweli wa kushindana michano na wewe?Anaweza kuchana michano ya hip hop tufanye battle. [emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michano? We jamaa, mimi kweli wa kushindana michano na wewe?Anaweza kuchana michano ya hip hop tufanye battle. [emoji1][emoji1][emoji1]
Sema wewe, Mimi sio wa kushindana nae michano. Akatafute rappers wake wakali ndio waje tushindaneWee atakukimbiza utaabika hapaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baby wangu anachana michano bila kutegemea nguvu ya mjani wa Bob ooh
Hi ndio michano yenyewe?Haniwezi nipe beat nimtembezee vitu,
Vitamu vichachu ugwadu laini yaani kuntu,
Uzi kuchoresha membaz hutowesha ID,
wasonga Sana jf ukiwachana Wana mind. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Michano? We jamaa, mimi kweli wa kushindana michano na wewe?
Sema wewe, Mimi sio wa kushindana nae michano. Akatafute rappers wake wakali ndio waje tushindane
Hi ndio michano yenyewe?
🤓🤓🤓🤓🤓🤓 Umeona eeeeeh yaaani ndo hivo.... Yaaani unaaminikA sio poaKwakweli huyu ni mimi kabisa kabisa
Ktk mijadala yote kijiweni kuanzia kiuchumi kisiasa kijamii na mengine mengi wanaaminigi mimi ndio final say
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nna wanangu hao kila kitu watakuja kunichukilia maelezo hawana smartphone hawapo active sana na yanayoendelea duniani ila wana kiu ya kujifunza
🤓🤓🤓🤓🤓 Huku anavimba ila...Huku jf unajidai Tajiri maisha safi nyumba kali una gari ya bei mbaya , , , , alafu uhalisia huko mtaani soli ya kiatu imeisha, jana umelala njaa unafikiri ukiulizwa unatimia jf utakubali?
Bilashaka PM imejaa mesejiHutaki hela binti maisha yako ni mafupi miaka 70 wewe hutoboi na motoni unaenda kwanini usile Bata
Achana nae huyuHakujui baby, hebu mpe si kalilia wembe wacha umkate
Twende kazi beibbyyy[emoji8]
Yupo very low sishindani na wanaume wanaojiangalia kwenye kioo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii itakuwa michanio
Anatupotezea muda tuMwenyewe nimeshangaa toka lini huyu anaweza kuchana, kumshinda my beibyyy [emoji3059]
Yupo very low sishindani na wanaume wanaojiangalia kwenye kioo
Too soft na slow, kalegea ngoja nimtembezee mb*oo
Ainyonye imkabe na koo, uhuni naujua ni noma na soo
napiga na-hit na ku-go, kifo cha mende namuacha amelala
Role model wake kajala, tako kubwa kifuani ndala
Hawa mpaka ubusti isimame imara, upige na mikwara.
Kimoja tu lazima asingizie hajala, maneno meengi kama manara
Anatupotezea muda tu