Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Hata mimi majuzi nimekataa kufahamu jamii forum
 
Marafiki zangu wote wanatumia JF, Ofisini pia washikaji wote niliwaingiza JF, Sio kitu cha siri, nikikaa kwenye madawati ya wenzangu sometime nakuta wamefungua JF Wanaburudika.
 
Mkuu hivi JamiiForums ina app ngapi? maana kwenye simu yangu kuna app mbili na muonekano kati ya ya hizo ni tofuti na nyingine.
 
JF ina watumiaji wachache sana ila wana ma ID mengi sana ... kuna maeneo hawaitambui kabisa
 
Ukikutana nao uta waambia kwamba wewe Id yako ni ipi? Hata mimi huku kwetu siijui Jf kabisa yaani ndo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…