Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #21
NdiyoLeo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Uliwaamini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoLeo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Uliwaamini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi majuzi nimekataa kufahamu jamii forumNi mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nje ya hapaa?Miye najua
Walisema nini kuhusu wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nje ya hapaa?
Ila nishawahi kukuta watu wanaiongelea hii I'd yangu, nkajikaushaa nawachoraa tyuuh.
Mshamba huyoNiko hapa Toka 2016 ..mwaka 2017 kabla sijaama Hilo jiji la hovyo Dar nikiwa kwenye Dala Dala niliona mshua Mmoja mtu mzima yupo Kwa app anaperuzi alivyojua nmeona akatoka chap ..
Walikua wanabishana, wengine wanasema ni Ke, wengine wanasema ni me ila Gay, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walisema nini kuhusu wewe?
Nilishangaa sana mkuuMshamba huyo
Marafiki zangu wote wanatumia JF, Ofisini pia washikaji wote niliwaingiza JF, Sio kitu cha siri, nikikaa kwenye madawati ya wenzangu sometime nakuta wamefungua JF Wanaburudika.Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Mkuu hivi JamiiForums ina app ngapi? maana kwenye simu yangu kuna app mbili na muonekano kati ya ya hizo ni tofuti na nyingine.Mi licha ya kujaribu kuwashawish friends watumie jf hakuna aliekubali 😂😂😂
Mwaka wa 7 huu sijawahi ona mtu ana app ya jf kwa simu yake 😂😂😂
Jf shida wamiliki wake wamekaa kisiasa, hawataki kuifanya jf as social media, au sehemu ya kibiashara na fun place 😂😂
Na ndo mana natakaga niinunue jf one day nibadili kila kitu
JF ina watumiaji wachache sana ila wana ma ID mengi sana ... kuna maeneo hawaitambui kabisaNi mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Ukikutana nao uta waambia kwamba wewe Id yako ni ipi? Hata mimi huku kwetu siijui Jf kabisa yaani ndo nini?Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Jibu sahihi ni lipi sasa kati ya hayo?Walikua wanabishana, wengine wanasema ni Ke, wengine wanasema ni me ila Gay, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilivyotoka palee nilichekaa km chizi, Lol
Saa anaogopa nini..Nilishangaa sana mkuu
Alikujua wew2 mbeaNiko hapa Toka 2016 ..mwaka 2017 kabla sijaama Hilo jiji la hovyo Dar nikiwa kwenye Dala Dala niliona mshua Mmoja mtu mzima yupo Kwa app anaperuzi alivyojua nmeona akatoka chap ..
Aise hivi nikuulize kitu mkuu kama umewahi kukutana na mpwayungu ni mwalimu au??Miye nishakutana na rikiboy na Mpwayungu Village
MbiliMkuu hivi JamiiForums ina app ngapi? maana kwenye simu yangu kuna app mbili na muonekano kati ya ya hizo ni tofuti na nyingine.
Hata askari Polisi hana habari na wewe kwanza wengine hawaijui.Saa anaogopa nini..
Wakati unapokua unatumia hata mtu wa pembeni ni ngumu kujua ID yako