Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mi licha ya kujaribu kuwashawish friends watumie jf hakuna aliekubali 😂😂😂
Mwaka wa 7 huu sijawahi ona mtu ana app ya jf kwa simu yake 😂😂😂

Jf shida wamiliki wake wamekaa kisiasa, hawataki kuifanya jf as social media, au sehemu ya kibiashara na fun place 😂😂
Na ndo mana natakaga niinunue jf one day nibadili kila kitu
Mm nalushauri anzisha yako
 
Hata mimi situmii app ila nataka kuwa nayo tatizo nimedonload moja ya hiyo app naona haiko vizuri kama ambavyo natumia bila app, ila naona hii ya bila app iko vizuri, ndio nataka kuidonload nifanyeje?
Kuna notification ya app hapo chini..
Au wee huwa hupati hiyo notification

Ila hii ya bila app ipo poa zaidi.
Ishu za picha hazisumbui.
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Kuna babu sehemu alikuwa anatumia nae yupo adicted kama mimi tuu simu muda wote blue... alivyo niona alificha faster sijui alinijua... nikahisi bila shaka anaperuzi uzi wa kimasihara
 
Back
Top Bottom