Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Sasa huoni kwamba hao Colleagues wameshakufahamu ?
 
Security measures tu mkuu. Holding one id kwa muda mrefu nachukulia sio salama sana.

Sitaki nije nihusishwe na lolote lile. Mambo ya kuwa charged makosa elfu 1,000 [emoji3][emoji3] ya kusingiziwa kuanzia 2012 hapana.
Basi huku unafanyaga mambo ya ajabu ambayo yanatishia amani..

Kama ukiwa wa kawaida tuu basi ni ngumu sana kuhusishwa.

Kuna watu humu tangu waanze miaka hiyo mpaka leo ID zao zile zile tuu 🤓🤓🤓🤓🤓
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Mi Nina Miaka 12 nilishawahi kumwona mmoja tu,
 
Back
Top Bottom