Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao h

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Uwajue ili iweje unataka kuwarahishia kazi wazee wa kaunda suti
 
Fake ID zinasaidia sana mimi humu kuna ndugu wengi na hatujuani, kuna diwani mmoja wa CCM nilinasa ID yake ye yupo jukwaa la mahusiano tu siasa hayupo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1487][emoji1487]
 
Nilipo kua nasoma chuo enzi hizo nilitwa ofisi ya lecture Wa philosophy, alikua anatumia jf bahati mbaya alikua ana koment Uzi WA rikiboy Sema sikubahatisha Kunasa Id yake..Toka siku Ile nilimdharau yule doctor
Wewe Wala usimdharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maisha mafupi sana ,Uzi wa riki boy una mafogo wanaupitia ule Uzi nnaowajua na niliokutana nae ktk mizunguko ya biashara wako 3 mafogo hasaaaaa ...brooo mmoja ni Mteule kabisa aseehh...hua nacheka sana [emoji1][emoji38][emoji38][emoji38]amekua ndugu yangu kabisa manaa tushafanya sana bizness pamoja
Ila jf naiheshimu mnooo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] .. mimi bhn nimewah ona kweny PC ya lecture wetu Hii app ya Jamii forum .. na nilion alivyo I project ukutun .. pindi linavyo anzaaa ... Nilijiuliz meng San[emoji28]
[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38]
 
Humu kuna watu na nusu! Kuna mtu ukimkuta kwenye uhalisia wake ama yupo kazini kwake unaweza kuogopa! Salute huku tunazinguana na matusi juu lakini laiti ukikutana nae unaweza tamani uyarudishe matusi yako mdomoni. Salute kwa Jembe ( KE ) ambalo ni Top pale zinapotua na kuruka lakini ukiwa huku unakuwa umepinda kinyama
Exactly [emoji817][emoji817][emoji817] uko sahihi kabisaa Kuna watu wateule humu Tena ni wakubwa kwenye position nzuri mnoo nshakutana nao Mpk nkasema [emoji849]Huyu Ndo yule ..bwana wee
Salute jf!!afu humu oya oya Sanaa wakati kazini boss anaogopwa
Humu watu wanaingia kutoa stress na kupoteza mda tu
 
Fake ID zinasaidia sana mimi humu kuna ndugu wengi na hatujuani, kuna diwani mmoja wa CCM nilinasa ID yake ye yupo jukwaa la mahusiano tu siasa hayupo
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
 
Fake ID zinasaidia sana mimi humu kuna ndugu wengi na hatujuani, kuna diwani mmoja wa CCM nilinasa ID yake ye yupo jukwaa la mahusiano tu siasa hayupo
Exactly [emoji817][emoji817][emoji817] uko sahihi kabisaa Kuna watu wateule humu Tena ni wakubwa kwenye position nzuri mnoo nshakutana nao Mpk nkasema [emoji849]Huyu Ndo yule ..bwana wee
Salute jf!!afu humu oya oya Sanaa wakati kazini boss anaogopwa
Humu watu wanaingia kutoa stress na kupoteza mda tu
Wengi wanatumiq JF ila hawana account
 
Yes hata mie nimeanza kuijua JF 2014 niliingia google kuuliza swali nikakutana na link ya JF nikafata nikawa nasoma, halafu niviguwaga mjinga zile banned za member wa humu nikajuaga ni avatar zao kumbe ni kifungo
🤓
 
Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.

Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.

Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
seriously hata mimi mwenyewe sijawai kutana na mdau w mtandao huu. sijui wanakuaga wapi aisee
 
Mimi ni mtumiaji na nilishakutana na member zaidi ya 50 tunafahamiana na tunashirikishana mambo mbalimbali na sasa tuna kundi live la telegram tunasonga kidigtal. Shukhrani Jf kwa kutukutanisha na sasa ni ndugu. Jf ni habari nyingine.
 
Mimi mshkaji wangu kuna siku aliniona nipo JF akaniuliza kumbe na wewe upo JamiiForums?
Nikamwambia mimi naingiaga kam guest tuu nikitafta kitu waki ni direct huko...

Shida ya watu wengi akikuuliza upo huko ukimjib ndio hata ishia hapo, atauliza Unatumia ID gani, haya mambo ya kifacebook ndio siyataki...
 
Back
Top Bottom